Tendo la ndoa nje ya ndoa

Tendo la ndoa nje ya ndoa

Tunafanya sana huo unzinzi/uasherati najua na wewe ni mmoja wapo kuwa mkweli na usiwe mnafiki.

Kwa mujibu wa vitabu vya Mungu ni dhambi ila kwangu mimi si dhambi mihimu wote ni watu wazima na mumekubaliana kustarehe hamumdhuru yeyote.
 
Wajanja wamemchukua mmeo unakuja kulia huku indirect
 
Kwa taarifa yako uzinzi sio mpaka ufanye hata kutamani tu ushazini ndugu
 
Nani anakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia lazima tutest mitambo kabla sijaweka ndani, hata mboga jikoni au chakula lazima kionjwe ilitujue ni kizuri au kibaya kabla hakijafika mezani kwa kuliwa.
 
Hivi mke kunisafishia nguo, kuniandalia chakula na mengine kama hayo ni sehemu ya tendo la ndoa?
 
Back
Top Bottom