Mchakato wa kumtangaza kuwa mtakatifu Mtumishi wa Mungu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania aliyefariki mwaka 1999, umezidi kusonga mbele na sasa upo katika hatua ya kuwahoji watu (mashuhuda). Hatua hii ni muhimu sana ili kuthibitisha sifa yake ya utakatifu na maisha mazuri...
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana
Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
Mtume Muhammad hakuwahi kuwa muasisi wa dini ya kiislamu asilani abadani Mtume Muhammad yeye alikuwa mtume wa mwenyeziMungu(Allah) na alisaidia pakubwa kusambaza dini ya kiislamu.
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee
Yaani hawa wanawake ni hatari aisee
Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi imeisha na ndani ya wiki hii ana birthday kwahiyo nimnunulie keki ya happy birthday
Aisee ndugu zangu...
Bila shaka kila mtu ameona nini kitatokea Iwapo tukiwapa madaraka makubwa watu kutoka Kanda ya ziwa maana tumeona mtu kama mwendazake alipewa madaraka makubwa tumeona alichokuwa anafanya yaani hawa watu wa kutoka kanda ya ziwa hawa wasukuma ni wabinafsi
Wanajificha kwenye kichaka cha upole ila...
Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌
ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.