Aina hii ya wabunge ya kuhama kwakumuunga mkono mtukufu niaibu ya mwaka vijana wenzangu hasa wa kinondoni huyu bwana mlilinda kura hata mkaatalisha maisha yenu ili asihujumiwe na maccm Leo kawauza kwa bei cheee mbunge huyu bumbavuuuuu
Tumechagua kwenda kwanamna hiyo taifa lolote duniani lilipoteza njia linalazimisha wanachi waamini wasichokiamini kwamabavu eti wameshinda uchaguzi wakati wamejitangaza kuwa washindi kinyume na uhalisia ila walichofaulu kupiga wapinzani kujeruhi kuua kutesa na wengine kuwa walemavu wa kudumu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.