Recent content by kuru

  1. kuru

    I need a diet, seriously

    im not kidding! mm mwenyewe nimeshafanya mara moja na nimepungua ingawa sijaendelea kwan yamenikifu.i had 70 kg bt after this i have 67.5kg na hapo nilifanya mara moja.
  2. kuru

    Faida 25 zinazopatikana kwenye GREEN TEA.

    Jamani nieleweshen hii green ikoje. Ndo yakuweka mchaichai au?
  3. kuru

    I need a diet, seriously

    tumia hii njia, kula kilo 2 ya nanasi kila cku kwa cku 3 mfululizo huku ukinywa maji kwa wingi,dont eat any thing other than nanasi,then pumzika cku 7 huku ukila chakula kama kawaida.baada ya cku saba kuisha kula tena kilo 2 za nanasi per day for 3 days, then pumzka for 7 days, utafanya hivyo...
  4. kuru

    Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

    Aaaaaaaaa............Zubeda mbona bado u mdogo sana, hayo umeyajulia wapi?:A S embarassed:
  5. kuru

    KUTOA UCHAFU MWILINIi......................

    hao watakuwa na lao jambo, wanatafuta kitu so wanaamua kufanya experiment, najua itakuwa na madhara makubwa tu japo cyajui.
  6. kuru

    Be aware of ripe banana!

    thanks for ur information
  7. kuru

    Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

    kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke mjamzito ni part ya zoezi litakalo saidia njia ya uzazi wakati wa kuifungua.
  8. kuru

    Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    muone meno kama jembe mnene mpaka unashindwa pita mlangoni mfupi kama nyadundo
  9. kuru

    Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    wenye ulcers na juice ya limao c wataumia zaidi.
  10. kuru

    Ndivyo itakavyokua..!

    ngulihno KUSHOTO.
  11. kuru

    Afisa misitu

    huyo mwanafunzi kaniacha hoi.
  12. kuru

    Padri Amkimbia Muumini...!

    kumbuka pia kuna member ambao ni wapya so hawajaisoma
  13. kuru

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    my dear! Age is nothing but a number. ila wewe yaonekana umeshapata mwingine sasa huyu wamtafutia kisingizio.
  14. kuru

    Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

    Na sisi kina dada huwa tunawapima tuone mna nia gani,anakutega kidogo tu akuone,sasa wewe ulipatikana. pole sana.
  15. kuru

    Schwartz, Schwartz, Schwartz & Schwartz

    hahahahahaaa! ngoja nkuelewehse Bushbaby! hapo kuna schwarts wanne, wa kwanza alikuwa anacheza golf, wa pili amestaff,wa tatu kasafir na wanne ndo huyo alikuwa anongea nae. Hapo upo sasa?
Back
Top Bottom