Recent content by kupweteka

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri SMZ apinga Muungano wa serikali mbili

    Wapewe nchi labda watakula bata,kwanza nchi yao ndogo wakiamua kuijenga wanaweza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekubali kutoa mafunzo kwa askari wa Somalia

    Acha waje alshabab sie tuondoke na madini bila kulipa hata hiyo 00.01% ya kodi
  3. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kwa waislam tu

    Hiyo aya ilikuja kwasababu maalum na iliwahusu watu wa wakati huo wakati uislam bado mchanga na baadae ilikuja aya ya kuharamisha kabisa pombe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nani kaiba 200b zetu za IPTL na esc- tuandamane kwenda Ikulu kushinikiza uchunguzi

    100% yes ila wa Tz hatuwezi,nchi kama Msumbiji walipandishiwa bei ya mkate tu kilinuka,wa Tz ni sawa na nyoka wa kijani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    Acha apewe utakatifu hautomsaidia lolote huko aliko na mkong'oto uko palepale
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

    Watajiju,acha nihangaike na maisha yangu kula yangu shida na nimemzidi masele kielimu na ki cv
  7. K

    JamiiForums Tanzania Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    Tuondoe wote,tuweke wapya nyambafu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Police Kenya mmetia aibu kwa kumpa mtuhumiwa gaidi escort "Samantha Lewthwaite" White Widow

    Sio Kenya tu hata Tz bado tuko nyuma sana,vp Arusha
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tbc1 warusha habari za CHADEMA

    TBC ni tawi dogo la ccm na ndio tawi linalotoa wakuu wa wilaya wengi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    Piga chini wote,nichagueni mm mgombea binafsi na serikali yangu itakuwa ni ya wa2 clean kbs.mimi oyeee!
  11. K

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    le mutuz hueleweki vp tena!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hiyo ni balaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania save the children

    Fanya kazi ww
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kima kipya cha chini cha mishahara - Kuanzia Julai mosi, 2013

    Vp kuhusu kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa serikali?wameongeza asilimia ngapi?
Back
Top Bottom