Recent content by Kunyongo

  1. K

    Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    Mimi nafikiri na swala la kuvamiwa msumbiji na magaidi litazungumuzwa!
  2. K

    British PM - "Half of all the tea drunk in the UK comes to us from Kenya"

    Majority of tea growers in Kenya are white people and that is why the UK PM pleases Kenya! PM Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Kenya na tanzania

    We are democratic, don't restrict us on what to talk about. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Bajeti ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya nchi zote za EAC zilizobaki, (Tanzania + Uganda + Rwanda + Burundi).

    Mleta mada kumbuka bajeti inategemea vyanzo viwili vya mapato.1)mapato ya ndani 2)misaada toka nje Ebu tuonyeshe kwa kila nchi mapato ya ndan kiasi gani na misaada kiasi gani
  5. K

    Serikali ya Tanzania yatoa misaada ya Chakula na Dawa kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe zilizokubwa na mafuriko

    Wale mabiionea wa Kenya ambao huwa tunaambiwa humu wako wapi? Tuna waomba Waache ubinafsi wasaidie wenzao wanakufa njaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Kenya kubalini kwenu kuna njaa ili msaidiwe

    Jamani hawa watu ni wa kusaidiwa. Tuwasaidie maana wakenya wameona aibu kutokana na kutamba walikokuwa wanatamba. Huyu si adui wa kuombea njaa. Ni ndugu zetu. Yale maneno yao kwenye jf ni kwa ajili ya kuchangamusha jukwa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    While middle income Kenya is starving of hunger...

    I support you! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett

    Kwani hujui kuwa maisha ni siasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    PENDEKEZO: Ofisi zote za Umoja wa Mataifa zilizopo Nairobi zihamishiwe Arusha

    Mkumbushe pia kajenga barabara,madaraja makubwa,meli,stiggler's gorge, upanuzi Wa mitandao ya maji mjini na vijijini, Elimu bure ,kuangamiza ufisadi, nidhamu ya kazi, amani, upanuzi Wa viwanja vya ndege, n.k. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Uganda kuzindua shirika lake la ndege Aprili

    Hivi Rwanda ina ndege ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

    Kama unaona tunadanganyana si uhamie huko wewe unayehusudu vya nje na koponda vya kwako. Malaya Wa akili ni watu Wa ajabu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unataka kutuambia Mombasa inaizidi Nairobi?
  13. K

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    Kwani walibinafisisha kwa wazawa au kwa wageni?
Back
Top Bottom