thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
True word.. halafu chai yote ya ukanda huu ikifika Mombasa wanajidanganya kwamba imezalishwa Kenya. Huu ujinga mwisho wake ni awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mnada wa Dar ukianza tunauza chai yetu TZ ya Rwanda,Burundi, ya Malawi nk...wadau hasa wakulima wadogo wa Mufindi, Njombe, Rungwe na tea factories kv brooke bond, Mufindi Tea, nk wanalalamika chai kuuzwa Mombasa inawakosti zikiwemo gharama za usafirishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app