Chukua maji vikombe 2, weka jikoni, ongeza karafuu vijiko vikubwa 2, ongeza na baking soda vijiko vikubwa 2, ila baking soda uwe unweka kidogo kigogo, mpaka iishe cause inafoka.
Baaba ya hapo ongeza na majani ya baylive.
Epua acha ipoe kigogo, weka kwa chupa anza kuspray, hata inzi hawakai...