Recent content by Kununa

  1. K

    JamiiForums Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Omari Masumbuko Silayo Sinare - Moshi Vijijini Gerarld Ngotolainyo - Moshi Vijijini Nasoro Malocho - Basil Pesambili Mramba - Rombo Solomon ole Saibul - Arusha? Chediel Yohan Mgonja - Same Padri Simon Chiwanga - Dodoma Alphonce Masikini - Rombo Leonce Ngalai - Rombo
  2. K

    JamiiForums Fagio la chuma la Mwakyembe lapandisha mapato bandari ya Dar es Salaam

    Dr. Ucwara kwa vipi? This is a serious form. Usilete utani. Kipi baya anachofanya hadi "tuzungushe" shingo yake? Those who tried to twist his neck did not succeed - do want to try?
  3. K

    JamiiForums TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    The late Right Rev. Fr. Amedeus Msarikie, Bishop Emeritus of the Catholic Diocese of Moshi wil be laid to rest on Thursday 14th February 2013 inside the "Grotto of the Christ the King Cathedral" at 10.00 a.m. To some of us, it is not time to mourn/cry for him. It is time to celebrate his...
  4. K

    JamiiForums Vituo vya daladala kugeuka soko

    This is Tanzania. Everything is possible. Kila kitu ruksa. Ukiwaondoa watakujia juu "Kwani barabara tukafanyie wapi?" Polisi wakienda kuwaondoa kwa nguvu wanapata mkong'oto wa mbwa mwizi. Kama waliweza kuwaondoa Tazara na TANESCO Ubungo, kwa nini washindwe Mwenge? Kuna ombwe la uongozi katika...
  5. K

    JamiiForums Flood lights za Mtwara Airport zang’olewa na kupelekwa Arusha

    Mmekumbuka shuka asubuhi!
  6. K

    JamiiForums Mangula na viongozi wenzake wa CCM wazomewa katika mkutano wa hadhara iringa

    Hawa sio "Wananchi". Ni wafuasi wa chama fulani waliokosa ustaarabu katika siasa.
  7. K

    JamiiForums Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    Mimi nataka nitengeneze filamu kwa kutumia kitabu cha Satanic Verses. Huyo padri wa mwenge ana haki ya kukataa kanisa lake listumike kama hakutoa idhini ya kutumia kanisa la Mwenge kupigia picha. Ni lazima tuwe macho na mambo yanayogusa imani za watu. Mbona sasa hivi kuna mjadala kuhus...
  8. K

    JamiiForums Michoro inayoonyesha Mji wa Kigamboni utakavyokuwa baada ya kukamilika ujenzi wake mwaka 2032

    Ule mji wa Mchikichini wameusahau? Ule mradi wa kufukia bahari umeishia wapi? CDA mambo vipi? Tuelewe kuwa mipango siyo matumizi!
  9. K

    JamiiForums Vituko vya Wakubwa...................

    This is not funny!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Sura za watu wa arusha..

    Hiyo ya Wa Iringa Kiboko! Sijaona wafuatao: Tanga Mtwara Songea Dodoma Utawatambuaje?
Back
Top Bottom