unadhani mtuhumiwa akiaanza kujitetea yeye atakuwa na haki ipi?mimi si mtaalamu wa sheria but nadhani mlalamikaji ndie anaepaswa kutoa ushahidi wake then mlalamikiwa nae ajibu.
Bunge nalo limepewa mamlaka ya kutoa adhabu kufuatia ukiukwaji wa taratibu au utovu wa nidhamu. Kanuni namba 74 (1), (2) na (3)(b) zinahusika. Hizi zinasomeka kama ifuatavyo:
74.-(1) Spika anaweza kutaja jina la Mbunge kwamba amedharau
Mamlaka ya Spika na kisha kupeleka jina hilo kwenye Kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.