Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani wanawasilisha hotuba yao bunge likazimwa

Usije ukashangaa wakati kambi ya upinzani bungeni wanawasilisha bajeti yao jumatatu,ndugai akazima bunge live
Hata mimi ningezima. badala ya kuwasilisha wanatafuta misifa na kutoa misauti mikali kama wana ugonvi na mtu na sasa hivi watakuwa wanatafuta Kiki kwa nguvu kubwa maana wamebwagwa mapemaaa
 
Tayari umeshaambiwa atakuwa anapokea makanikia awamu ya pili jumatatu, vyombo vyote vya habari vitakuwa huko, sasa hadi hapa natumaini mtajuwa kwa mini makanikia yanapokelewa jumatatu
 
Back
Top Bottom