ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa...