Recent content by kunicha mtuvenge

  1. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sitamsaliti Hayati Magufuli hata niwekewe bastola

    Naunga mkono hoja
  2. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Bundi ni.ndege km ndege wengine kikubwa ni ndege aliekosa bahati ila hana shida ya aina yoyote
  3. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

    Sasa unauliza mmiliki.wa avic town wewe ukishajua itakusaidia nn kwa mfano
  4. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

    Hakuna kitu kizuri km uwelewa hawa wenzetu wa upande wa pili wamekosa uelewa kabisa kabisa wanaamini kabisa yesu alizaliwa na alikua na kukua na watu wa wakati huo walimuona na kukua nae lakini hapo hapo wanaamini kua yesu ni mungu hapo hapo Tena wanaamini mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa...
  5. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Sasa kila anaekufa Anataka ajengewe kaburi si patajaa fasta Tuu
  6. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Alibaba na wezi 40

    Yes ni.hadithi nzuri
  7. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    Duh mwaka huu mbona kazi tunayo tutaona mengi
  8. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Sikia wewevcha kufanya ilipe kwanza hiyo laki 3 then uendelee kukutafuta hiyo ulioipoteza utaipata tuu
  9. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    duh ninyoka mmoja mnyonge sana na mtàratibu ila ukimchokoza ana matata vibaya mno Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    tena mtoa post shoga hasa Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
  11. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania DAR: Ajali mbaya Morocco, magari 5 na bajaji wagongana

    Duh sasa hii ndio ajali mbaya
  12. kunicha mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi: Fahali wawili hawakai zizi moja

    Duh
Back
Top Bottom