kwani ukawa wanataka kutuambia kipi ambacho sis hatukuona....??? kama c kutufanya watanzania mazuzu kisiasa..... wao wanachojarib kufanya sasa hiv ni uchochezi.... lakin yote tisa kumi.. viongoz wote wanaounda ukawa ni.wanafiki na wanamaa kuliko hata hayo ma ccm... lakin kwa kuwa wote ni waroho...
wanasiasa wa kitanzania wanatakiwa kuiga mfanano wa zitto kabwe... huezi amin jamaa kafika dar leo asubuh saa 11alfajir akitokea new dealth india.... mpk saa 2 alikuw dodoma.. lakin kaongea vit vya msing tangu mchakato huu uanze zitto na kafulila ni mfano wa kuigwa hatutak malumbano na vijembe...
tundu lisu asiwasumbue aluwahi kudumbukia ch......... ni kwa hiy ji ukwl akil yake wakat mwngine ndo alivy tumzoee lakin ni kwl elim yake ya kwli kabisaaa haina shaka.... sema hilo tatiz lake la kudumbukia ch....n mpk akaw fyatu kwa kipind flan ndo tatiz linalomtesa...
habar ya kupindisha maelezo ndo these are great thinkers .. tunatak kufaham inasemekana wew ndo umemtoa ndugu wangwe na cku hiy ulikuwa na ticket ya ndege dodoma -dar lakin wakat chacha anaenda dar ukamn'gan'gania mwende pomoj ukahairisha kusafir na ndege... matokeo yake chacha kapat ajali...
hiv chadema haina washaur au.....? hakuna kitu kibaya kama akili ndogo kuongoz akili kubwa yaaan akili ya dr slaa imemezwa na kijana wa kimachame freeman aikael mbowe.. huyu bwna inasemekana ndo mwnyekit pekee wa chama cha siasa duniani mweny elim ya kidato cha nne... huyu bwana inasemekana...
hawa jamaa tunafaham wanachotaka daaaaaahhhhhh hii.nchi balaa saaana.. ki ukwel haw jamaa wanaopigiw upatu wa uraia wa nchi 2 ni matajir walioko abroad especialy marekani na hili linafanyw saaan na wana mtandao wa cm under membe ili kumvusha kirahisi aingie ikulu lakin jof yang tuu ni kwamb...
ukweli ukawa ni jambo jema ssaana na huw nampongez dr slaa kila cku nikizungumza nae tangu watangaze ingawa huwa namuuliza maswal machache anashindwa kujib... kwa niukawa wasipoteze mda kupigania maslah yetu kam vile afya, elimu, uchumi wa nchi. mjiuliza kw nin wana focus kweny muundo wa...
nadhan pengo aachane na siasa afanye kaz ya mungu tuuuu... coz nafaham viongoz wa din wana ushawish saaaan katik jamii lakin matokeo yake huw wanaingia migogoro na viongoz kujifany wao ndo wametumwa na mungu hamna lolote wiz mtupu hii imetokea uganda 20011 baada ya uchaguz mkuu kiongoz mkuu wa...
haaaa haaa.. ni kweli upunguf wa nguv za kiume ni janga la wanaume pekee
, haliwahusu wanawake kwa sababu
1. mwanaume anatengeneza hormons za testasteron amby zinazoimarish misuli ile ili asiwahi kumaliza lakin kunapokuw tatizo lazima mwanaume aishiwe nguv kabla ya wakati...
2. mwanamke...
being sencere kafulila is a great thinker.. ukwel usemwe upenzi uachwe, lakin ndo walivyo watu wa kigoma naon hat dr kabourou alivyokuw bungeni , zitto kabwe, kafulila & machali... ki ukwel guys are genius..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.