ukweli ukawa ni jambo jema ssaana na huw nampongez dr slaa kila cku nikizungumza nae tangu watangaze ingawa huwa namuuliza maswal machache anashindwa kujib... kwa niukawa wasipoteze mda kupigania maslah yetu kam vile afya, elimu, uchumi wa nchi. mjiuliza kw nin wana focus kweny muundo wa muungano....? ccm wanatak serikal2 waendelee kuw na nguv bungen na waongoze kirahis wakat wamekusny maon ya wananch jaji butiku alitak badil frm maon ya wananch frm serikali 3 to 2, warioba akakataa cha kufa kufanya hivo.. wakat huo makada wa ccm hawakufuatilia coz hawakujuw impact zake..
chadema nao wanatak serikali3 ili waweze pigana juu chin wapate wabunge wengi ili waichomoe ccm kw kura ya maon ya kutokuw na iman na rais ili.. kutengenez serikali ya mseto ili wapate mwany wa kuingia magogoni na kukamilisha ile dhamira ya bwana thomass marealle kilimanjaro kuw nchi huru...
cuf nao na maalim seif wao wanatak serikal3 kw sabab wapate mwanya rahis wa kuvunj muungano ili washike dola zanzibar baadh ya makada wa ccm wajiandae kuish uhamishon coz historia ya zanzibar kwa visasi dunia nzima ya kwnza namuhurumia mzee komandoo.. l
tujiulize sasa mim na wew mwnye nia nzuur na wew ni nan...? na kushabikia usiyoyafaham....?
swali: mwaka 1984 mzee jumbe alitengenez waraka wa katiba kupitia mwana sheria wake swazz ule warak ukapotea katik mazngra ya kutatanish imaalim seif akamtumia mzee jk... aboud jumbe siasa ikafika mwish akatemwapk leo kipof.. sas je inakuwa je yey anahoj ule ule muundo wa muungano aloupiga vita wakat wa aboud jumbe...?
..
swali kwa ukawa je huu umoja wenu ni wapamoja kwa katiba nzima au yeny sura 17 na ibara 217, au ni umoja wa sura ya 6 yenye maslahi nyie...??? inayozungumzia muundo wa muungano..? kuweni waz kwa watanzania hawana matatizo ulaghai ndo hatutaki...
nawasilisha.....