Recent content by kumlere

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Kaka pole kwa tabia za pale huyo atakuwa kolewa makanyagio
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Haha afe kipa au beki😅😅😅 ngoja tuone
  3. K

    JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    UKISIKIA UJINGA ULIOTOPEA NDIO HUU HAPA Na Bollen Ngetti WAKATI mwingine huhitaji hata elimu ya msingi kutambua kiwango cha ujinga wa mtu. Ni kheri anayeficha ujinga wake kwa kukaa kimya maana hutoelewa ni mjinga au ana akili sawa sawa. Ninafuatilia kwa karibu sana safari ya Rais Samia Suluhu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kijasusi inayoweza kuokoa maisha yako

    Hahaha lakini siyo kila mala Utumie get off of X better ukatizama na vyema ukahusisha another factors like The baseline established,Pre incident indicator na Mwisho Ni Normalcy bias. Asante mleta mada kwani Survival Intelligence Ni muhimu kwa maisha yetu ya kila siku.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Aaaaaah!!! Kitaalamu tunasema imeisha
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    Kwa akili za kawaida ulitegemea NEC ikinzane na Speaker na Mahakama??? Haipo hiyo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Hao Unaowaita keyboard warriors ndiyo Wanao Wanyima Usingizi kila kukicha,Ungelijua Dunia kwa Sasa inaogapa keyboard warriors zaidi ya hao warafi wa Madaraka. Ukiona leo CCM anamsifia na kumpongeza Mdee jifunze kwa mtini,toka lini FISI akawa muuza Nyama buchani??? Eti leo Mdee anakuja na Hoja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Mpinzani ateuliwe ili akampinge Boss Wake,Au Mpinzani avue Upinzani halisi avae Upinzani kasuku ili kunusuru KUB bungeni,dah...haya maigizo aise Hakuna uhalisia hapo ila kuwahada watu
  9. K

    JamiiForums Tanzania The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

    Naona Vita baridi Imepamba Moto Tena Hususani kwa bara la Africa na Asia
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Haya Ndiyo yamefanya wazima net
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Fungueni mitandao Hofu ya nini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutamkumbuka Rais Dkt. Magufuli tunayemdhihaki kila siku katika mitandao ya kijamii

    Utamkumbuka wewe siyo sisi,ok tumkumbuke kwa lipi??? Kuto kutuajiri???
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Ndiyo umeshauri Hili la Twitter, Whasp, Instagram... hizi tabia siyo za watanzania na hatujazoea
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Time for solidarity Uwoga Ni dhambi
Back
Top Bottom