Kuna mtazamo wa kijinga sana, eti vijana lazima wawe cdm ndio unamaanisha kuleta mageuzi, hapana mageuzi sio chama ni fikra za watu ndio zinaitaji mageuzi, cdm wanawajengea watanzania kuwa na fikra gani huku kila siku wao ndio wajuaji wa kila jambo, yaani unasubutu kuandika humu kutetea utumbo...
Tunakubali alikuwa na akili sana ila ndiye aliyetupelekea kuwa hapa tulipo umasikini mkubwa, hifadhi ya fedha za kigeni kumalizia kwenye vita, kusaidia majirani mpaka kupitiliza ona wao hatawajali,nyerere alikuwa mkaidi sana haambiliki wala hashauriki na hapo ndipo alitupeleka chaka,mkabila sana...
Ni suala la kusikitisha sana lililotokea arusha ila namshukuru mungu kwa kipindi kifupi kabisa ameweka mambo wazi na kuiiacha jamii ya kiislam iliyokuwa ikituhumiwa kwa mambo kama haya kupumua, adui yetu bado hatujamjua ni lazima vyombo vya usalama vifanye kazi yake napata wasiwasi na nchi...
Matusi ya nini? Simjibu kwa hoja tu! Huu mtandao wa jf unaweza kupoteza hadhi yake muda simrefu maana siku hizi matusi ndio mtaji na sio hoja
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Mleta mada hayo uliyonena yanaitaji tafakuri ya kina tatizo humu jf kitu akishazungumza kiongozi wa kisiasa ni marufuku kumkosoa tena zaidi cdm,ni upoyoyo akili zako kukubali kushikiwa na mtu mwengine,
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Mjilipue wenyewe kisha uanzishe thread ya mashambulizi kwa jk, ugaidi wenu anaopanga lwakatare ndio upo mchezoni sasa,hakuna nchi inayoweza kulinda raia wake kila dk na kila second,haya mambo tumeanza kuyaona toka cdm walipopewa support na kundi fulan la kiimani, wanajaribu ku subortage utawala...
Tatizo sio hilo tulianza na mungu na tutamaliza na mungu, tatizo ni mungu yupi? Mungu baba mwana au roho? Mbaya zaidi hata lwakatare naye anatumia maneno haya......hamuwezi kupewa nchi mtatugawa wa tz, hamuoni kiitikadi hapo muslims na pagan mmewaacha nje
Sent from my BlackBerry 9360 using...
Hata lipumba alishawahi kumwambia slaa asijilinganishe naye maana yeye ni mt kilimanjaro na slaa ni kichuguu sasa kwa jk sindio balaa kabisaaaa,
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Slaa kachomekea gwanda? Hii kali sana..........ukimwangalia alivyosimama kama anasubiri muda wa kutairiwa ufike
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Yaani ili taifa langu sijui tumelogwa? Lwakatare naye ni shujaaaa? Mmmh cdm wanaujasiri wa ajaaab kabisa naweza kuamini hata siku ya malipo wapo tayari kumtetea shetani kwa nini alifukuzwa kwenye bustan ya eden na kudai alinyimwa haki ya kujitetea na mengine mengi.....,ni upumbavu wa hali ya...
Mbona wote cdm nikisoma maelezo yenu ni kana kwamba mnakiri ule uzi wa lwakatare sio wakutengeneza bali ludo ni facilitator wa issue ya ukweli ndio maana mnamuhukumu kwa kutoa siri za chama
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Mkuu umesomeka, japo watakuja wafia vyama watoke povu juu ya ukweli huu.... Tumeona namna ambavyo slaa amekuwa akipewa support kubwa na maskoofu mbalimbali katika harakati zake za kisiasa ikiwa ni pamoja na kumkingia kifua kwa dhambi zake za uzinifu wakisema hayo ni maswala binafsi,wapigwe...
Anayetaka kuhoji umashuuri wa mandela lazima atakuwa na utindio wa ubungo, yaani kumfananisha na nyerere ambaye alifukuza watu kwenye nchi kwa sababu za kupinganao kimtazamo na mbaya zaidi akaunda usalama wa taifa kushughulikia watu badala ya rasilimali za taifa mpaka leo ndio kazi ya usalama...
Unaleta thread bila kujishughulisha na ubongo wako japo kidogo, tena kwa jazba,hili ndio tatizo letu wa tanzania kwa miaka mingi,warioba kaeleza hii ni rasimu ya tanzania na sio tanganyika wala zanzibar, hivyo hayo yote uliyoeleza majibu yake yatajibiwa na katiba za nchi husika na sio hii ya...
Kunya anye kuku akinya bata kaharaa...............perdiem zake lazima ajilinganishe na raisi kama kawaida yake, duuh wiki tatu.......sianatumia ruzuku yote ya chama
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.