CHADEMA acheni woga na kutafuta huruma, nini maana ya matumizi ya maneno haya?

Nyie cdm vp mnalalamika kama tusichana twa kindagate. Mnataka huruma ya watanzania. Mchezo wenu tushaugundua, na kura hampati vurugu mnazfanya wenyewe then mnskuja kujambajamba hapa jf.

Angeuawa baba yako au mmeo usingekuwa na ujasiri wa kusema haya.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

ujinga ukizidi unakuwa upumbavu. Wewe nadhani ujinga wako unaelekea kupita hata kwenye upumbavu
 
Kumbe tatizo jingine ni kutajwa kwa jina mungu!?

Nilidhani ni mapambano ya wanadamu kumbe shetani ndie rais wa haya mapambano!?
 
ujinga ukizidi unakuwa upumbavu. Wewe nadhani ujinga wako unaelekea kupita hata kwenye upumbavu

Kwa sasa chadema hamna jipya, wananchi wameshawazoe, hivyo mmebaki kujibaraguza kwa wananchi kupitia maneno kama Mungu yupo nasi n.k

CCM tutaendelea kuwapigilia misumali mpaka tuhakikishie chadema imepotea kabisa, na kubaki historia.
 
Lazma uuogope msemo wa "TULIANZA NA MUNGU TUNAMALIZA NA MUNGU" kama uko CCM maana MUNGU hatangaman na WAUWAJI. Kwa CDM ni slogan sahh kwan wanaitumia na tunaona!
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako...

Mawazo ya kish*nzi kabisa, sa unataka walipe kisasi!? ili iweje? utapata faida gani? watanzania wamekufa nyie mnaleta mizaha!?? nashindwa kuamini kama viongozi wetu wa chama tulowaamini wanaweza kuwa wamefirisika kifikra kias hiki na kuwaona kama nyie ndo risasi ya mwisho ya kukinusuru chama mitandaoni.
 
Tatizo sio hilo tulianza na mungu na tutamaliza na mungu, tatizo ni mungu yupi? Mungu baba mwana au roho? Mbaya zaidi hata lwakatare naye anatumia maneno haya......hamuwezi kupewa nchi mtatugawa wa tz, hamuoni kiitikadi hapo muslims na pagan mmewaacha nje

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kila kitu kwako ni siasa naomba utumie akili kidogo tu kwa wakati. Watu wamelipuliwa na mabomu kwenye mkotano wa kisiasa na hakukua na vurugu yeyote na sasa badala ya kufikiria demokrasia na kutoa pole unataka kugeuza kwamba eti waliolipuliwa wanahitaji huruma. Kitu ambacho uelewi Tanzania inaenda pabaya kwenye dini, siasa, ufisadi na tatizo kubwa ni kwamba kuna watu wa serikalini na mafisadi wanaamini kwamba Tanzania haiwezi kubalika.Tanzania imeshabadilika na haitarudi nyuma na mabomu yatatisha lakini hayatabadilisha moyo. Hata wakoloni walikuwa wanafikiria kama wewe.

Mkuu hizo akili unazo muomb kuzitumia atazitoa wapi?
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Eti 'tupo hapa kufanya siasa'. Unafanya siasa kwa manufaa ya nani? You make it look like this country belongs to few of you guys, and only you. Kimsingi, hamfanyi siasa. Mnafanya 'dirty politics'. Siasa inapaswa kuwa kwa manufaa ya wananchi wote. Huwezi kuua watu halafu useme unafanya siasa ndio maana umeua. Huwezi kutumia vyombo vya dola kutesa watu, kuharibu uchaguzi, na kuharibu mikutano ya hadhara kwa kisingizio cha kufanya siasa. Hii ni siasa chafu. Muulize mwalimu wako wa political science atakueleza. Above all, do not ever mistake 'dirty politics' for 'politics'. Otherwise you risk making politics sound like a dirty word, which is not.

By the way, you sound like Nape, Mchemba, Komba and the like. Unafanya kazi pamoja na hawa watu? Your thinking pattern is so similar.
 
HAMY D kumbe mtu akitaja Mungu wewe unapata shida sana? akitaja Mungu anaonekana anafanya kazi ya KANISA? Hii nmeipenda sana. na walitaja shetani je? watakuwa wanafanya kaz ya nan? conclusion CDM kutaja tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu " wanaonesha huo ni UKRISTO? haya ndugu nashukuru nlikuwa sijui hilo.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

Mbona huzungumzii bomu lililolipuka juzi kwenye mkutano wa CDM Arusha? Hilo bomu ni criminal act against CDM na humanity as well!! Who is behind it???

Firoz Cachalia once said "The time has come to stand up and 'Take Charge!' Sekunjalo, the time is now! Together we can fight crime in our communities, our province and our country. Amandla awethu, all power to the people."
 
HAMY D kumbe mtu akitaja Mungu wewe unapata shida sana? akitaja Mungu anaonekana anafanya kazi ya KANISA? Hii nmeipenda sana. na wakitaja shetani je? watakuwa wanafanya kaz ya nan? conclusion CDM kutaja tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu " wanaonesha huo ni UKRISTO? haya ndugu nashukuru nlikuwa sijui hilo.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

...kako..joe ukalale,unatatizo la kukosa usingizi....
 
Kila linapotajwa Jina la Yesu mapepo yote hulipuka, Nenda kaombewe una mapepo ndio maana unalipuka.
 
CHADEMA baada ya kuona hali si shwari na kuwa kwenye maji ya shingo, wameanza matumizi ya maneno ya 'kujifariji' ili wapate huruma ya wananchi.

Kumbukumbu zangu zinasema CHADEMA ni chama cha vuguvugu, yani 'mikikimikiki ya mabadiliko' ndio moto wao huu, sasa iweje leo chama hiki kianze kutumia maneno ya huruma na upole?

Utakuta siku hizi katika matamko ya CHADEMA wameweka porojo zao nyingi halafu mwisho wanamaliza kwa kuandika "TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU", sasa hii ndio nini?

CHADEMA niwakumbushe, hapa hatufanyi kazi ya kanisa wala msikiti, tupo hapa kufanya siasa, hakuna habari ya kutafuta huruma kwa wananchi hapa, kwahiyo hakuna tija yoyote kutumia maneno hayo kwenye matamko yenu dharimu.

naona nimaneno ya kujifariji ukweli ccm inasubiri kuzikwa 2015,
 
Hapa unamsema Mwigulu kutafuta huruma ya watanzania kwa kutembea na kinyago waliyemchonga pale Igunga kwa kutumia tindikali.
 
Back
Top Bottom