Recent content by Kuli Msomi

  1. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

    Ni kazi tu mkuu Tatizo la watanzania wengi ni ujinga tu ukienda china utakuta watu wanafanya iyo kazi na ni nchi tajiri pia duniani acheni ujinga na uzwazwa nyie vijana wa kimasikini mlioweuka na vipato vidogo
  2. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi apa Dar es Salaam naweza kupata pikipiki za kukodisha?

    Wanakodisha bei gani per day
  3. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi apa Dar es Salaam naweza kupata pikipiki za kukodisha?

    Wakuu nilikua nauliza je kuna sehemu apa dar wanakodisha pikipiki kwa watu binafsi kwa shughuri mbali mbali kama ndio naomba mnijuze ilo chimbo kwa maana nimepata mchongo mmoja nataka niwe nausafiri kwa kuanzia wa kukodi ili kuraisisha shughuri zangu nikiwa apo mjini Piki kipi ya aina yoyote...
  4. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

    Tuachie mambo yako apa bwana mkubwa tupo bega kwa bega na mwamba ili taifa halitakiwi kuongozwa kwa misimamo ya watu au kikundi flani liongozwe kwa kufuata katiba na sheria na ndipo haki ilipo na mwamba anafanya ivo kwanini uje na andiko la kutaka aache kuifuata haki mzee [emoji15]
  5. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bajaji & bodaboda Authority inahitajika?

    Boda na madereva bajaji wasiguswe mbaka itakapopatikana katiba mpya Mkuu Wazo lako ni zuri ila kwa sasa litakua shida kwa maana uhuru / haki vitapotea tu kwa awo jamaa ambao pia ni watafutaji Alafu nakushauri siku nyingine ujikite zaidi kwenye kutoa solution ambalo ata wewe ndio ungekua boda...
  6. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

    WANATENGENEZA TATIZO ILI WAJE KULITATUA CCM NA SREIKALI YAKE WANATUPELEKA SLOW IKIWA SISI TUPO NA HARAKA SASA NJIA IMEISHA KINACHOFANYA ISITUMIKE NI NINI YANI
  7. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Kwanini U-FM Jana walikata matangazo DW Wakati John Pambalu alipokuwa akizungumza?

    TUAMIE CROWN FM NA TV KULE HAKUNA UKUDA
  8. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

    Mwambuksi ni Mtu Na Nusu nyie wapigaji mmeanza chokochoko zenu
  9. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

    Tanzania inatakiwa ikombolewe kutoka kwa wachumia tumbo kuja kwa wananchi ambao ndio wenyetanzania wenyewe #KATIBA #Katiba
  10. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Mwananchi apinga kauli ya Rais Samia kuhusu Watu kutopewa fidia zao kabla ya kutekelezwa kwa miradi

    Tunatakiwa tupate watu kama hawa 20 tu kwenye serekari kuu tutakua mbali sana
  11. Kuli Msomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Nasikia wanaanza mwezi huu wa nane
  12. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Wazee nina blog hii vipi iko poa ?African Country Tourism
  13. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    African Country Tourism Blogger ebu pitieni iki kiblog nilikisusaga juz nimekikumbuka nikaona nikifanyie malekebisho nimeamua kuweka free blogger template bado najiuliza nitoe ile meta tag au niache
  14. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

    Inaonekana kibu hakusain mkataba ila simba iliingiza iyo pesa Kinachofuata apo mnajua wenyewe watu wa simba [emoji1787][emoji1787]
  15. Kuli Msomi

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    MWIGULU KISHAFANYA YAKE SERIKARI NDIO VITU INAPENDA IVYO KUONA WANANCHI WANALIALIA MAISHA MAGUMU GHARAMA ZINAPANDA KILA KITU KIPO JUU MH RAIS YUPO BIZE NA KUTENGUA NA KUTEUA YAN MBAKA SIKU MUWE NA AKILI WATANZANIA MTAKUA MMECHAKAA SANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom