Recent content by Kule Kwetu

  1. Kule Kwetu

    UKUTA: Prof Mkumbo awataka wapinzani kutumia akili zaidi

    Future Impossible Tense
  2. Kule Kwetu

    UKUTA: Prof Mkumbo awataka wapinzani kutumia akili zaidi

    Huyo si mpinzani, ni anatumiwa tu na Chama Cha Mafisadi kuua nguvu ya upinzani Tanzania hivyo hata usimwamini. Kuhusu Maprofessor wa Tanzania walioingia ktk siasa ni hovyoo hata usomi wao hauna positive effects kwenye jamii.
  3. Kule Kwetu

    Biashara za kwenye instagram na totoz

    Ulifanya utafiti?
  4. Kule Kwetu

    Video: Wema Sepetu ajitabiria kifo

    Mkuu ungemuuliza tu net worth yake ni kiasi gani? Analipa kodi kiasi gani?
  5. Kule Kwetu

    Video: Wema Sepetu ajitabiria kifo

    Haya maisha haya,
  6. Kule Kwetu

    Ulishawahi mpenda mpenzi wa mtu? Ulifanyaje kuvunja uhusiano wao? Ushauri unahitajika

    Kwahiyo unaomba ushauriwe jinsi ya kuvunja uhusiano strong wa watu. Ama kweli unashangaza sana.
  7. Kule Kwetu

    Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

    Mnyamwezi wa singida? Yaani sio siri nimejikuta nikiirudia kuangalia clip hii na kucheka sanaaa nashindwa kujua kuwa ni igizo, utani au reality. Hahaha Wema bana...!!!
  8. Kule Kwetu

    Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

    Hahahahaha...!!! Kiki ya Halua
  9. Kule Kwetu

    Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

    Hata wasipozitambua Watanzania tutazitambua.
  10. Kule Kwetu

    Malaika Mihambo: Mtanzania kwa asili, anayeiwakilisha Ujeruman Rio2016 Olympic

    Huyo ni Mjerumani mweusi. Sasa akiwa ni mtanzania wa asili anaipa sifa ipi Tanzania?
  11. Kule Kwetu

    Kama mamsapu hapendi unywe bia, fanya hivi..

    Umeanza kunywa pombe lini?
  12. Kule Kwetu

    Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

    Kumuoa Mwanamke polisi au mwanajeshi ni Risky sana kutokana na mazingira ya kazi zao. -Hata kama alikuwa mwaminifu sana basi mazingira yanamfanya asitulie. -shift za usiku akiwa na wanaume au kuhamishwa kikazi mkoa hadi mkoa....Utagongewa hadi uzimie. -Nakushauri kama unampenda mwachishe hiyo...
  13. Kule Kwetu

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Sawa ni upande mwingine, je sipaswi kujua / kupata jibu la swali nililouliza?
Back
Top Bottom