Nlijichanga zikafika m3 nikafungua kibanda cha tigo pes , Mpes na Airtel money nikaweka msichn apo mm nikaendelea na kaz zangu baada ya mwez faid ilikua lak moja na sabini ,,, baada ya wiki 1 mbele akatapeliwa laki 4, baada ya siku 2 tena akatapeliw lak 7,,,, nikafunga kibanda nikakiuza nikauza...