haya jamaa nauliza hayamaafa yakitokea kule visiwani tunasema wanapewa adhabu na mungu kwa kuchoma makanisa je yana yanayotokea huku kwetu bara na sisi tumechoma nini
jamani mimi nuliza tuu maafa kama haya yakitokea kule kwa wenzetu wa visiwani huwatunakimilia kusema kuwa wamemkosea mungu kwa kuchoma makanisa jee haya ya huku kwetu bara tumemkosea nani
jamani mimi najiuliza maafa kama haya yakitokea kule kwa wenzetu wa visiwani kama kuzama kwa boti na mengine tukimbilia kusema wamemkosea mungu kwakuchoma makanisa jee haya yanayotokea huku kwetu bara tumemkosea nani
ndugu yangu wacha fitina zako pili hii picha sio ya mwaka 1963 ni uwongo huoo 1963 bado karume hajawa raisi wa zanzibar wacha kupotosha ukweli au ndio umetumwa na maccm wasiopenda ukweli
jamani mimi nilikuwa nataka kujuwa tanzania ilitawaliwa na nani? na ilipata uhuru mwaka gani? jee tanzania si lizaliwa 1964 aprill ? wanajamvi naomba kujuwa haya
haya tena wajamii tomeona sasa haya yagalifanywa na wazanzibari tungesema hawajasoma kazi kukaa vibarazani sasa hawa ndio walosoma amakweli jk huna serekali
sasa cc watanganyika tumeshugulika na ufisadi tuu hata leo pia ikiwa wazanzibar watakuwa kivyao basi tutatolea mfano wao kwani tunajuwa walivyo
tuwache kulala watanganyika wakati umefika sisiem kuondoka
jamani hebu nammbieni toka lini mzee wa miaka hamsini akarudi kuwa kijana wa miaka kumi na nane
sisiem ni kizee tuu hata wafanye nini hawawezi kuwa kama chadema kwani ndio kwanza kijana
mimi naona bora tukawaachia nchii yao hawa jamaa kwani iko siku tutakuja kujuta sana kwa hawa wazenje kikwete na pinda fanyeni kazi mambo hayo haraka iwezekanacho wasituharibie nchi
mimi nilitaka kujuwa ikiwa baba amekufa ndio tusiuliza mali alizoziwacha au alikuwa vipi mpaka akafa wacheni kutubambikiza mambo yaliokuwa sio yetu shivji na ccm wenzio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.