Recent content by kukujogoo

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Kabisa na Bado yupo anarandaranda tuchue tahadhari
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Asante sana Boss
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina diploma ya Pharmacy

    Msaidie kupata kazi sio maswali juu ya maswali
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Kazi inatafutwa haiji yenyewe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Pole mkuu kwa kushonwa hvyo....kila mtu ana ujuzi wake
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Mwaka 2015
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Nina usajili wa wizara ya afya, posho makubaliano. Tuwasiliane 0713163751
  9. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: NGAZI ZA MSHAHARA (OSHA)

    MSAADA: ngazi za mshahara za occupation safety and health authority(OSHA)MSAADA: ngazi za mshahara za occupation safety and health authority(OSHA)
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Pogba tumelamba Jokeri

    Pogba hatareee. Kazi yake ni kutumbua majipu ya wachezaji wenzake uwanjani kasahau kutoa pas na kufunga
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haina Uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    Tutaisoma namba tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Daktari natafuta kazi

    Jamani hili suala la ajira ni tatizo sugu na hivi Sasa limefikia hadi kwenye sekta nyeti ya afya.....serikali ifungulie tu hizi ajira hususani sekta ya afya kwa takwimu za haraka haraka kuna madaktari zaidi 1800 ambao wamemaliza internship mwaka Jana na mwaka huu wamekaa tu nyumbani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki sema neno moja tu, vijana waathirika wa ajira wapate amani

    Kuna madaktari Zaid ya 1800 waliomaliza mwaka Jana na mwaka huu mafunzo ya kazi ( internship) wapo wanazagaa mitaani tu. Hawajui hatma Yao.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hakuna kituo cha Tv Kinachoonyesha LIVE??
  15. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Wapiga Tatu Kwa Mpigo Kujiimarisha

    Hongereni makamanda tumefarijika na uwepo hapa ifakara tutawakata mikia mapanya yote MACCM
Back
Top Bottom