Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
- Thread starter
- #41
Matombo morogoro huku jamani kunahitaji ukombozi
Vijana wanakuja
Matombo morogoro huku jamani kunahitaji ukombozi
Tutaendelea kuwaletea habari kutoka Chama chenu pendwaPamoja sana makamanda
Hongereni makamanda tumefarijika na uwepo hapa ifakara tutawakata mikia mapanya yote MACCM
Unazani kila mtu ni mwizi nyie nendeni kwa jizi lenzenu el
Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
Kamanda habari ya Mujini ni Arusha mgesubiri kwanza hizi habari zenu za Bavicha.
Hatuwashangai nyie magamba mliohamishia tumbo kichwani,asante sana mkuu Chademakwanza hizi habari zinaleta afya sana!!!Aluta continue makamanda!!!
Mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani.