kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 410
- 312
- Thread starter
- #21
Siwezi kukimbia...nina nyonyesha mkuuSi nilisikiaga nyie mnakimbiliaga Botswana sasa wewe unangoja nini kukimbia?
Siwezi kukimbia...nina nyonyesha mkuuSi nilisikiaga nyie mnakimbiliaga Botswana sasa wewe unangoja nini kukimbia?
Ina maana uliacha kazi ,
Vipi tena unatafuta kazi ??
Ulipata vipi registration ?
Temporary ndo neno sahihiRegistered MD ni baada ya mafunzo kwa vitendo ,hiyo ina maana anaruhusiwa kufanya kazi na anatambuliwa na wizara pamoja na bodi ya madaktari mkuu.
Temporary ndo neno sahihi
Kupata full registration ni lazima ufanye kazi si chini ya miaka miwili under supervision
Dah....Dokta wa kazi wa kazi maalumKwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm

Ahsante,nashukuru kwa maoni yako mkuu...We ni daktari feki au vp? Maana watu hata wenye basic certificate ya clinical medicine sijawahi sikia wana tapatapa Kama ww na MD yako sijui ya nchi gani hio, utakuwa hauko sawa wewe..!!!
Nina wasiwasi Na vyeti vyako mkuu
Alisema ila ukweli hakuna ajirakwani mkulu si alisema ameanza kuajiri madaktari ww vipi tena?
Eeeh,basi sawa...Na mashaka nawewe sio bure