magai majigo
Member
- Sep 19, 2016
- 76
- 27
Natafuta kazi yoyote inayoendana na taaluma yangu nina diploma ya pharmacy (pharm tech.) Namba zangu ni 0658047048
JiajiriJiairi
Utawezaje kujiajiri wakati huna capital. Minimum ya capital ya kufungua pharmacy n 7.5 million. Sio rahis kuzipata kama huna mdhamini au urithi.
Natafuta kazi yoyote inayoendana na taaluma yangu nina diploma ya pharmacy (pharm tech.) Namba zangu ni 0658047048
Msaidie kupata kazi sio maswali juu ya maswaliUmesoma Chuo Gani? Pharmacy hadi sahizi Hauna kazi? Au unachagua kazi?
Ingia hapa unaweza ukawa msaada mzuri
Nahitaji Mfamasia wa kusimamia Duka Tabata
Nahitaji Mfamasia wa kusimamia Duka Tabata
Watu wnajitolea mwakaKuna sehemu nmejitolea sana kama miez 3 lakin nlichoambulia n uzoefu tu. Kwa iyo nahitaji sehemu niajiliwe na mm niwe na uhakika wa maisha yangu. Pia ajira za serikali hazieleweki hadi dakika hii kuna waliomaliza diploma kabla yangu na bado hawajaajiliwa hadi sasa