Recent content by Kukaya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sikiliza matangazo ya Kgame Cup

    Matokeo ya Simba vs URA vipi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sikiliza matangazo ya Kgame Cup

    Tafadhali tupatieni maendeleo ya mpambano wa Simba na URA Taifa....
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za uongo dhidi ya PPF, wana JF tuache kukurupuka

    kwa hakika malipo yale yanastahili majina yote mawili: wizi na rushwa, ukitaka weka hongo, na unaweza kutupia ufisadi. huu ni ufisadi ulioidhinishwa na bodi ili kujinufaisha. kwani kuna tofauti gani kati ya maamuzi ya bodi na mabaraza ya madiwani wa ccm ambayo yalikuwa yakihamisha mali za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kilio cha watu wa kusini ya tanzania

    nyie ozzie7 na kimilidzo mnaowashambulia watu wa kusini kuwa wanastahili shida kwa sababu ya ushemeji na kikwete na kuviunga mkono ccm na cuf ni mbumbumbu. tatizo la JF ni kuwa si wote ni wenye tafakuri ya kina. kuna mazuzu humu wengi tu tunaenda nao. ama kweli ktk kundi la mamba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa kadi kwa wanafunzi wa sekondari

    Propaganda ni sehemu muhimu ya siasa, haikwepeki. Chadema wanahitaji kufanyia kazi jambo hili kwa sababu, kwanza, ni kinyume cha sheria kushirikisha watoto wadogo kwanye siasa, lakini pia, ni mtaji wa kisiasa kwa Chadema. Viongozi wa Chadema Dodoma wakusanye ushahidi madhubuti (ni rahisi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya radar na hosea wa takukuru----soma, jadili, chukua hatua

    WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' Prosecutor Edward Hoseah voiced safety fears over inquiry into 'dirty deal' involving sale of radar system to government President Jakaya Kikwete, pictured with George Bush in 2008, had his commitment to fighting...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    maxmo hajatutoa kokote....yule mzushi tuuu... hii timu ni mpya na cha msingi ni ushindi...simba oyeeeee.........
  8. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    kaseja has proved those who contend him wrong...kwa kipindi chote ambacho yeye hakukaa golini hatukuwahi hata kufika nusu fainali...amerudi tu...na kombe...tena akiwa amefungwa goli moja tu.....apewe hongera zake.... maximo to hell...alipokuwa hapa alidai anatakiwa na timu kubwa barani afrika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    kwani maximo alikuwa na mikosi...alikuwa anatuwekea usiku tu..........ukame wa miaka 8 umemalizwa na paulsen.......
  10. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    mpira umekwisha......sisi mabingwa..........
  11. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    inaonekana kiungo chetu kimezidiwa sana....wanachezea mpira watakavyo.....huyu cheche asipochungwa anaweza tuwashia cheche
  12. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    kibendera ametusaidia...jamaa walishasawazisha...free kick....
  13. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    Ndo maana mambo yanaelekea kuwa mazuri, mzee wa kaya hayumo nyungoni.....
  14. K

    JamiiForums Tanzania Challenge ya 2011; matches na results

    Labda kule kuangukaanguka kwake (JK) wakti wa kampeni anakuleta uwanjani hivo timu nayo huangukanaguka
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mzima kavukavu!

    Ndugu uliyedai Scandinavia wako "reserved" kivipi wakati wenyewe huchakachuliana kisimamiecho kwenye mabustani na subways kavukavu? Labda ni mashambani lakini mijini hakuna cha "reserved" wala nini. Suala la ubaguzi linachangia kwa kiasi kikubwa. Maana wanawake wanaogopa kuwa na mahusiano ya...
Back
Top Bottom