Recent content by kugegeda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe unapotosha kuhusu Wizara ya kilimo

    Wewe si chadema au ulihama tena, du vyeo mnatafuta
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkojo wangu hutoka na ute

    Hivi misuri ikilegea kwa sababu ya chaputa inakazaga kweli endapo MTU ataacha chaputa? Wataalamu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Rais anateua Katibu wa Bunge kabla hata hajapewa majina 3 yaliyopendekezwa na Bunge kwa Mujibu wa Sheria?

    TBC, magazeti utamaduni na michezo vipo chini ya Juliana shonza. Kudadeki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CHADEMA Moshi: Tamko la Emanuel Mlaki baada ya kusimamishwa Uongozi

    Ccm, ni chama cha majizi, kila siku rais analalamika wezi wote hao ni kutoka ccm
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CHADEMA Moshi: Tamko la Emanuel Mlaki baada ya kusimamishwa Uongozi

    Chadema sasa ndo chama kimbilio LA wengi,,,,, hizo propaganda za ccm tu, haziwezi kufanya lolote atiiiiii
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni ushamba!

    Ccm ni shetani linalo tesa watnzania bila kosa lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaitosa Bodi ya Lipumba

    MWe, lipumba ana watetezi wa ccm Hawa chezea ccm wewe
  8. K

    JamiiForums Tanzania Silinde: Mapato ya TRA yameshuka hadi bilioni 700 kwa mwezi kutoka trilioni 1.5

    Noa zetu kwa heli
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kumatakamata ya viongozi wa upinzani nini tafsiri yake?

    Swise, sio ukawa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa: Ninakubaliana na hatua alizochukua Rais na kumwomba Mungu isiishie hapo, bali aende mbali

    Ccm haohao ndo walipitisha mikataba mibovu hiyo. Leo wanajitekenya wenyewe tunaona ni mashujaa, jamani Tz tunasoma nini sijui!!!!! Wapinzani walodiliki hata kutoka nje ili wasijumuike kwenye huo ufedhuli wa ccm, lakini wananch hawahawa wakswakebehi sana!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la UVCCM kumuunga mkono na kumpongeza Rais Magufuli

    Wazee wa kushangilia matukio, muwe basi na ujasili wa kukemea jambo bovu kabla ya kufanyiwa kazi na mkulu, hapo tutawamini, lakini kukaa nyuma na kushangilia baada ya tukio kufanyika ni unafuki mtupu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hongera TEF na MOAT sasa watu wanaangalia TV na familia zao

    Huyu mayala kweli ni njaa, hivi ni lini vyombo vya habari vikategemea bashite? Kule star TV bosi wao kuna kitu kaahidiwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Eti samahani, nauliza tu, nasikia watu wanasema ni pm maanayake nini?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ninajamba sana ifikapo asubuhi

    Haa ase tatizo lako na mie ninalo ase, na sijui ni nini, ila nahisi ni vidonda vya tumbo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ebony FM mmetukosea JamiiForums

    Wewe ndo hujaelewa
Back
Top Bottom