Kumatakamata ya viongozi wa upinzani nini tafsiri yake?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
127
225
UBAGUZI,KAMATAKAMATA DHIDI YA UPINZANI NINI TAFSIRI YAKE KATIKA AWAMU HII?

Na Mwanakijiji lugusi

Nilishawahi kusema tz tumepata AJALI ya uongozi.pia viongoz wetu hawafuati misingi ya katiba ya nchi pia wengi Wa viongoz wetu hawajui majukumu yao na mipaka yao ya kazi HAWANA JOB DESCRIPTIONS/INSTRUEMNTS.Tusipowakataa na kuchukua hatua ya kuwapiga waziwaz hawa wanaojiita waheshimiwa watukufu hakika IPO siku wataleta mpasuko ndani ya taifa letu kwa sababu dalili za ubaguz Wakisiasa tunaanza kuona viashilia mpk watu kususiana futari huko mjengoni hakika OGOPA DHAMBI YA KUWAONEA WENGINE TENA WANAOJITAMBUA WAMEKAA KIMYA.Nashangaa hata hawa viongoz Wa dini wanashuhudia mgawanyiko huu unatokea na wao wapo kimya yaan ni kiongoz mmoja tu mchungaji GWAJIMA ndiye mwenye uthubutu huo wa kukemea mambo yanapokwenda sivyo ndani ya taifa letu

Imagine Leo katibu Wa uenezi Wa chama cha mapinduz Humphrey polepole anafanya ziara nchi nzima na mikutano yake mingine anafanyia kwenye majengo ya serikali lkn cha kushangaza wala haguswi na yeyote

Lakin wapinzani wakithubutu tu kufanya mikutano yao Mara utaskia wamedakwa na polisi na kupelekwa sentroooo hakika hii inaitwaga DOUBLE STANDARD aisee inauma sana na ukichukulia 2020 ni parefu sana je hawa wapinzan watavuna wanachama wapya lini?

Mimi Mwanakijiji Lugusi nasema

Iwapo WATZ tukianza KUBAGUANA KWA ITIKADI,CHAMA,KABILA,UKANDA unaosababishwa na baadhi ya viongoz tuliowapa dhamana hakika hatasalimika MTU bila kujali itikadi zetu wote tutaumia tu

Nchi hii ni yetu sote tukianguka tutaanguka sote,tukilia tutalia wote hivyo ni jukumu letu kama watz tukaishi kwa umoja wetu aliotuachia baba Wa TAIFA LETU MWL NYERERE

ALAMSIKI
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,232
2,000
hii ni recruiting process ili ikifika karibia na kampeni muwe mmesha zoea na watakapo watupa ndani mpaka uchaguzi upite muone ni jambo la kawaida (naota tu kwa sauti)
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Tafsiri yake ni kwamba tz ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi kinadharia lakini kiuhalisia ni nchi yenye mfumo wa chama kimoja (ccm)
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,106
2,000
Tafsiri yake kubwa CCM na serikali yake wanaona kama vile wanaingiliwa ktk uendeshaji wa nchi jambo ambalo hawako tayari labda kwa damu.

Kosa ni kuwa wakati Katiba inarekebishwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi haikuondoa elements za mfumo wa chama kimoja tena chama dola kiuendeshaji wa serikali. Katiba mpya ya wananchi inatakiwa ili pia kuwapunguzia ma DC nguvu za kuweka watu ndani hovyo .
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,658
2,000
Tumtoe Mh MBOWE kwenye kiti na tuweke kati ya TUNDU LISU MH LEMA MH SUGU AU MH HACHE AU WAITARA maana sasa naona mbowe kaanza kupywaya kwenye chama changu tumechoka sisi wafuasi wa UKAWA kuonewa kila siku mbowe yuko kimya Tunatakiwa tuangalie na upande wa pili.kama vipi tuingie MITAANI.
Swissme
 
kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,292
2,000
UBAGUZI,KAMATAKAMATA DHIDI YA UPINZANI NINI TAFSIRI YAKE KATIKA AWAMU HII?

Na Mwanakijiji lugusi

Nilishawahi kusema tz tumepata AJALI ya uongozi.pia viongoz wetu hawafuati misingi ya katiba ya nchi pia wengi Wa viongoz wetu hawajui majukumu yao na mipaka yao ya kazi HAWANA JOB DESCRIPTIONS/INSTRUEMNTS.Tusipowakataa na kuchukua hatua ya kuwapiga waziwaz hawa wanaojiita waheshimiwa watukufu hakika IPO siku wataleta mpasuko ndani ya taifa letu kwa sababu dalili za ubaguz Wakisiasa tunaanza kuona viashilia mpk watu kususiana futari huko mjengoni hakika OGOPA DHAMBI YA KUWAONEA WENGINE TENA WANAOJITAMBUA WAMEKAA KIMYA.Nashangaa hata hawa viongoz Wa dini wanashuhudia mgawanyiko huu unatokea na wao wapo kimya yaan ni kiongoz mmoja tu mchungaji GWAJIMA ndiye mwenye uthubutu huo wa kukemea mambo yanapokwenda sivyo ndani ya taifa letu

Imagine Leo katibu Wa uenezi Wa chama cha mapinduz Humphrey polepole anafanya ziara nchi nzima na mikutano yake mingine anafanyia kwenye majengo ya serikali lkn cha kushangaza wala haguswi na yeyote

Lakin wapinzani wakithubutu tu kufanya mikutano yao Mara utaskia wamedakwa na polisi na kupelekwa sentroooo hakika hii inaitwaga DOUBLE STANDARD aisee inauma sana na ukichukulia 2020 ni parefu sana je hawa wapinzan watavuna wanachama wapya lini?

Mimi Mwanakijiji Lugusi nasema

Iwapo WATZ tukianza KUBAGUANA KWA ITIKADI,CHAMA,KABILA,UKANDA unaosababishwa na baadhi ya viongoz tuliowapa dhamana hakika hatasalimika MTU bila kujali itikadi zetu wote tutaumia tu

Nchi hii ni yetu sote tukianguka tutaanguka sote,tukilia tutalia wote hivyo ni jukumu letu kama watz tukaishi kwa umoja wetu aliotuachia baba Wa TAIFA LETU MWL NYERERE

ALAMSIKI

Tafsiri yake ni kuwa wateuliwa wameshasoma mchezo kuwa aliyewateua anaamini katika "Intimidation & terrorization of opponents", na hivyo kila mmoja anatafuta single ya kumtokea mkulu kupata kick! Tutaona mengi sana kipindi hiki!!
 
mlekulechoma

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
1,367
2,000
UBAGUZI,KAMATAKAMATA DHIDI YA UPINZANI NINI TAFSIRI YAKE KATIKA AWAMU HII?

Na Mwanakijiji lugusi

Nilishawahi kusema tz tumepata AJALI ya uongozi.pia viongoz wetu hawafuati misingi ya katiba ya nchi pia wengi Wa viongoz wetu hawajui majukumu yao na mipaka yao ya kazi HAWANA JOB DESCRIPTIONS/INSTRUEMNTS.Tusipowakataa na kuchukua hatua ya kuwapiga waziwaz hawa wanaojiita waheshimiwa watukufu hakika IPO siku wataleta mpasuko ndani ya taifa letu kwa sababu dalili za ubaguz Wakisiasa tunaanza kuona viashilia mpk watu kususiana futari huko mjengoni hakika OGOPA DHAMBI YA KUWAONEA WENGINE TENA WANAOJITAMBUA WAMEKAA KIMYA.Nashangaa hata hawa viongoz Wa dini wanashuhudia mgawanyiko huu unatokea na wao wapo kimya yaan ni kiongoz mmoja tu mchungaji GWAJIMA ndiye mwenye uthubutu huo wa kukemea mambo yanapokwenda sivyo ndani ya taifa letu

Imagine Leo katibu Wa uenezi Wa chama cha mapinduz Humphrey polepole anafanya ziara nchi nzima na mikutano yake mingine anafanyia kwenye majengo ya serikali lkn cha kushangaza wala haguswi na yeyote

Lakin wapinzani wakithubutu tu kufanya mikutano yao Mara utaskia wamedakwa na polisi na kupelekwa sentroooo hakika hii inaitwaga DOUBLE STANDARD aisee inauma sana na ukichukulia 2020 ni parefu sana je hawa wapinzan watavuna wanachama wapya lini?

Mimi Mwanakijiji Lugusi nasema

Iwapo WATZ tukianza KUBAGUANA KWA ITIKADI,CHAMA,KABILA,UKANDA unaosababishwa na baadhi ya viongoz tuliowapa dhamana hakika hatasalimika MTU bila kujali itikadi zetu wote tutaumia tu

Nchi hii ni yetu sote tukianguka tutaanguka sote,tukilia tutalia wote hivyo ni jukumu letu kama watz tukaishi kwa umoja wetu aliotuachia baba Wa TAIFA LETU MWL NYERERE

ALAMSIKI
Tafsiri yake ni kuwa....wapinzani wanatafuta kik. ...walishapoteza mwelekeo na wananchi walishawachoka...wanavunja sheria makusudi ili wakamatwe.....waonewe huruma....kwa sasa wamehamia kwenye misiba kutafuta kiki!tusubiri atakayefariki tutafutie kiki!
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Imekuwa Tanzania nchi ya Vi-wonder.Wateuliwa wote wanatafuta kick hakuna cha maana.
 
Mansander

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
592
500
Chuki ikiachwa na kumea itatufikisha pabaya sana hata kama watawala watanunua bunduki kubwa kubwa, vifaru na madege ya kivita. Huu mchezo unaoendelea eneo dogo la Rufiji uwe fundisho tosha - kuwa ni vigumu sana kupambana na chuki za vikundi vidogo vidogo. Kutegemea tu nguvu za dola kuendesha nchi haitoshi, viongozi wetu wanahitaji kutumia busara, hekima na kutenda waliyoapa kuyasimamia bila upendeleo, uonevu n.k.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom