Sikulazimishi uhamie kwenye vinyaganya vyenye kipara, nakupa elimu tu kijana.
Ila pole sana mwanangu, tangu baadhi ya wajinga waanze kukuzingua kwa kucomment negatively kwenye nyuzi zako, umekuwa na majibu ya mkato sana kiasi cha kwamba kila mtu humu JF unamuona adui yako, mjibu mtu kutokana na...
Mbona hawajataja deciBel?, kwa wanaojua, ni deciBel ngapi?
Hili tamko litaaathiri sana biashara za watu, litaathiri vipato vya taasisi za dini hasa ya kikristo, kwani wakristo wanavifanya vipaza sauti kama ni tangazo la kibiashara la wateja wakatoe sadaka, wakibanwa wasivitumie vipaza sauti kwa...
Kazi kubwa mshahara kidogo, mshahara wenyewe ukiutumia kidogo tu umeisha, hata kuutumia kwenye chakula bora cha asubuhi, mchana na usiku hautoshi. Haya ndiyo maisha ya Watanzania wengi.
Sina habari, kitambo sana sijatumia ndonga, nimepata mwanamke tukapima, naenda naye dry.
Ndiyo hivyo, wamezitengeneza kwa multipurpose, wenye vibamia waweze kuzitumia, na wenye midungu nao waweze kwa kuishia katikati ya dungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.