Recent content by Kudasai

  1. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa wanastahili kuendelea kumsaidia Rais

    Bashe na Mwigulu hawafai kabisa kuendelea kuwa Mawaziri. Wanahusishwa na kashfa chafu na ufisadi. Umemsikia Mpina akiongelea kampuni ya ITEL, iliyopewa tenda ya kuagiza sukari maradufu ya kiasi kilichohitajika!
  2. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Sanae Takaichi achaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini Japan

    Tunamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mapya.
  3. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Kuna jamaa mmoja alikuwa anahadithia jinsi kuku wanavyochinjwa pale soko la Shekilango! Kuku wanapangwa mstari kama 10 hv halafu kisu kimoja kinapita "fyaaaa" wanaachiwa wanaruka ruka wenyewe! Daaah
  4. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Daah, kweli inaonyesha umeumia sana mkuu! Lakini hujasema ni machinjio ya wapi! Kimsingi hapo inaonyesha wazi ukiukwaji wa haki za wanyama (animal welfare). Tena inatakiwa uchinjaji ufanyike kibinadamu (humane slaughter) bila kumletea mnyama maumivu. Haya mambo yote yapo kisheria kabisa (Animal...
  5. Kudasai

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Yajayo hayatabiriki.... "Ni kizungumkuti"
  6. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Mliolipwa kipunguni msidanganyike kulipa wakili yoyote

    Sawa mkuu, tumekusikia
  7. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

    Hebu kwanza mtag hapa...
  8. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Microbiology and biotecjnology

    TMDA, Government Chemist, TVLA, NIMR, Research centres, etc
  9. Kudasai

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NoReNoE
  10. Kudasai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

    Ni kweli tatizo Nusratt ila usi generalize! Wengine tuko vzr sana
  11. Kudasai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Mkuu, Nenda uchukue mke wako! Kumshushia mke kipondo kwa sababu eti ulikuwa tungi hiyo haikubaliki.....kubali umekosa na uombe radhi. Kama umeshakaa na mwanamke miaka zaidi ya 5 na mmepata watoto 2 huyo ni mke tayari....na umesema hujawahi kuhisi usaliti wowote hiyo inampa thamani zaidi huyo...
  12. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Unajua kuna baadhi ya bidhaa ukitaka kuagiza/kununua kampuni husika (supplier) anakuwa amesha set shipping courier kwa hiyo mteja inakuwa ngumu kutafuta agency tofauti!
  13. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Mkuu, Bora wewe una ufahamu wa shipping. Evidence supported with data!
  14. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Ukilinganisha na China kwa mfano..... Hata Europe ni nafuu zaidi nadhani.
  15. Kudasai

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive? Tena kwa njia ya Sea freight...
Back
Top Bottom