Recent content by Kuchwizzy

  1. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania TCRA watupe maelezo ya huu upuuzi

    Haya madhara ya kuweka vilaza kwenye nafasi za juu Tutazidiwa na Kenya kwenye kila kitu ndani ya kipindi cha miaka 15 ijayo
  2. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania TCRA watupe maelezo ya huu upuuzi

    Tuki entertain upuuzi kama huu, tutaua hata hiki kidogo tulichonacho kwenye tech..... Sijajua kwanini watu wamekua kimya kwenye hiki kitu, lakini ni moja kati ya policy ya kipuuzi kuwahi kutolewa na taasisi yenye mamlaka kama TCRA Nawa hakikishieni kwa 100% watu walionyuma ya hii policy...
  3. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Google/Android wanaondoa uwezo wa sideloading apk bila vizuizi.

    Ubaya wa monolopy
  4. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Mfumo (software) Kusomana na NMB account

    Sidhani kama hizi banks zetu zina public developers APIs, so solution ni mbili Moja, ukutane nao na wakubali kukupa access ya APIs zao, au mbili utumie Payment provider kama Azampay etc ambaye tayari kashafanya most of heavy lifting for you but 3 au 5% haiepukiki. As developer sijajua why...
  5. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Make Gaza Israel Again ndiyo kiboko cha Magaidi huko Gaza!!

    85% ya watanzania ni ma mburura waliokosa critical thinking, hapo juu jitu zima linasherekea Genocide
  6. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Hii tabia ya watu wazima kuogopa criticism kama watoto wadogo ife, wengine tuna mambo yetu mengine kwenye mitandao sio kila mtu anafatilia siasa
  7. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Watazuia maiti yake isizikwe mpaka deni lilipwe
  8. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania China na Xi Jinping vipi tena?

    Naungana na nadharia inayosema Jamiiforums ilikua na wachangiaji wa maana miaka ya 2005 mpaka 10 huko, sasa hivi hata hamu ya kuchangia unakosa, kwasababu watu hawajengi hoja, wanaleta ushabiki wa kitoto, si unaona hapo juu, jitu zima badala ya kujenga hoja objectively kivipi China haiwezi...
  9. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Mji mkuu wa China, Beijing, umeanza kufanya elimu ya Akili Bandia (AI) kuwa ya lazima kwa wanafunzi wakiwemo wale wa shule za msingi

    Kama unaweza kusoma hadithi na ukaielewa, Computer pia inaweza kwa kutumia akili bandia (A.I)
  10. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania China na Xi Jinping vipi tena?

    Nahisi Tanzania tunaweza kuwa top 10 ya watu wenye uelewa mdogo wa mambo Duniani, kila tukio huku linachambuliwa kishabiki.
  11. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Mimi niliota nimekufa, 2006
  12. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Ukiiangalia vizuri dunia ni kama imesimama

    Adam na Hawa ndio kina nani?
  13. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nafasi ya China katika nguvu laini duniani kwaonesha ongezeko la ushawishi wa China

    China haina lengo la kuwa "Super Power" kwasababu China haona hiatoria ya Ukoloni wala Ubeberu.
  14. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Asante sana Trump kwa kuliweka hili wazi wazi kwamba katika vita yoyote anatanguliza maslahi ya Marekani

    Walichokifanya kwenye biashara kinaitwa Pivoting, Original mission ilikua kuporomosha uchumi wa Urusi kwa kuitupa kwenye war of attrition walio i back up kwa ma billions ya dollars ya silaha za kijeshi, intelligence na vikwazo vya kiuchumi Lengo ni kuchochoea mapinduzi Urusi ambayo yangemtoa V...
Back
Top Bottom