hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,468
- 11,992
Mimi sio keyboard warrior.Unataka nani akupiganie kama sio wewe mwenyewe maana hapo umejitoa kama wewe sio mtanzania na unaona huo upumbavu wa viongozi ila umekua keyboard warrior kukaa humu kutupa lawama Kwa wenzio hili ndilo tatizo la watanzania wengi
Na huwa sisubiri mtu anipiganie.
Ukipita kwenye lane yangu lazima ukasimulie.