Anaweza kuwa sio Mtoto, Lakini ni mmoja wa wale wamezaliwa na baba zao walishazikusanya zakutosha.
Kwahiyo anashangaa inawezekana vipi mtu kukosa pesa na Gari?
Familia zetu Wengi ni Masikini.
Umasikini huu, unapelekea Wengi wetu kushindwa kuwapa Watoto wetu elimu inayoendana na mahitaji ya wakati, lakini pia inayoendana na Rasilimali zilizopo.
Fursa Zipo zinatuhitaji pesa.
Vijana wapewe hizo nafasi za internship, wapate Chochote wakajiajiri. Inawezekana.
Watu wafundishwe kuwa watu.
Tuendelee kuwa wabunifu katika kutengeneza ajira.
Na ukipata Neema ya kuwa mwaajiri, usitumikishe watu bure kwasabu wahitaji ni Wengi na kwamba ukifukuza watakuja wengine.
Namna hiyo inakuwa siyo Sawa.
Kwenye ujenzi wa kizazi imara kinacho fuata kuna mambo matatu ya kuzingatia Malezi, ngano na Elimu.
Tukirejea maelezo hayo ambayo ni Sehemu ya andiko lako.
Je kuna haja ya kujua kama ngano nzenyewe ni Sahihi au ni za Uongo?
Naona kama kwa maelezo ya Mwandishi Zipo ngano zinazohusu wa Africa na...
Ubinafsi ni tatizo Kubwa sana kwa kizazi cha sasa.
Kila mmoja anajifikiria yeye tu, hakuna anayefikiri juu ya Wengine. Unahamasisha kuto kuoa, lakini unataka kuzalisha wanawake ambao wewe huna mpango wa kuwaoa Ili ulee watoto.
Je, wewe nae Baba ako alizalisha hivohivo?
Unafikiri kama ungezaliwa...
Mtu mmoja akifanya Kampeni ya Kukataa Ndoa, kwa Imani kwamba Ndoa ni kitu kibaya ni Sawa.
Na mtu mwingine akihamasisha watu kuoa kwa kuonesha uzuri wa kuoa ni Sawa pia na asizuiwe.
Japo Ndoa ni Njema achilia Mbali Changamoto zake.
Kukataa Ndoa ni Uhuni hata kama utakuwa na sababu nzuri Kiasi gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.