Recent content by Kubwalijalo

 1. Kubwalijalo

  Kwanini watu wengi wakistaafu hurudi kwao japo huko waliondoka siku nyingi?

  Anakuwa amebakiza 20% yakutumia nguvu zake. Na ndio maana anahisi bora akazitumikie kwao. Hata kwa kuuza nyanya na biringani.
 2. Kubwalijalo

  Kwa wapenzi wa fulana zile plain, ipi brand nzuri kati ya hizi?

  Hakuna hata moja kati ya hizo. Rabda uvae ili usitembee tumbo wazi.
 3. Kubwalijalo

  Wauza mitumba mtubu hii ni dhambi

  Tatizo namba moja ni mnunuzi, namba mbili ni muuzaji.
 4. Kubwalijalo

  Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

  Ewe MwenyeZi Mungu niweke mbali sana na siasa.
 5. Kubwalijalo

  Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

  Swet-R, Sijaona haja yakujuana. Hizo kesi zakupeans ukimwi huzisikii mmoja unaambiwa ameshajinyonga kisa ameambukizwa na mwanacha wa jf. Na wewe ndio kwanza unataka watu wajuane.
 6. Kubwalijalo

  Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

  Hakuna ubishi na mfano mmoja kama Maalim Seif na CUF. Tokea mwanzo wa cuf mpaka kufukuzwa kwake cuf yeye ndie mgombea wa Uraisi. Hili ni tatizo kubwa kwa vya vya siasa hususan Africa.
 7. Kubwalijalo

  Nimemaliza kifungo changu leo

  Hata huko Ddubai sipo baba. Tafuta kwengine.
 8. Kubwalijalo

  Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

  Anataka kuwa kama vile Maalim Seif na CUF.😄
 9. Kubwalijalo

  Vyungu vya kuyeyushia Dhahabu na Scale za TANITA za japani

  Vizuri ungelisema kama kitu kipi unahitajia.
 10. Kubwalijalo

  Vyungu vya kuyeyushia Dhahabu na Scale za TANITA za japani

  Zipo za India, Italy na UK na inategemea ya kg ngapi unahitaji.?
 11. Kubwalijalo

  Vyungu vya kuyeyushia Dhahabu na Scale za TANITA za japani

  Nauza vyungu vya kuyeyushia Dhahabu pamoja na vifaa vyote vinavotumika Elution pamoja na Scale za Tanita za Japani, Na vipimo vya maji kwa ajili yakuangalia asilimia kwa Bei nzuri kabisa. Kwa mawasiliano: +255689511212 or +255778353535 Whatsapp +971589413651
Top