kindoki
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 213
- 218
Used mpaka 15m za UK
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kuna jamaa yko kimara baruti wao wanazitoa uk
Mtafute huyu mtu 0769555552 anayo compressor ipo DodomaWadau natafuta hiyo mashine, zinapatikana wapi, bei nijue.
View attachment 1349914
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa wako kimara baruti wanashushaga mashine hizo nyingi toka uk
Hata humu alikwepo Chris LukosiKiboko ya hayo madude ni jamaa mmoja wa kuitwa Chriss lukosi sana anapatikana facebook a.k.a mzee wa makinikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpya znafika karibia $45000Mpya original bei inaendaje kwa dar, nilitaka kununua mwaka juzi tatizo zote zilikuwa feki. Huwa naiamini sana atlas kwa ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpya original bei inaendaje kwa dar, nilitaka kununua mwaka juzi tatizo zote zilikuwa feki. Huwa naiamini sana atlas kwa ubora
Sent using Jamii Forums mobile app