Recent content by Kubwa kubwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Waongeze na Gari ya mwalimu wa zamu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4 Agosti, Tumeshamsahau tayari.

    Kama wewe ni Swala,Nyumbu au Pundamilia,ukiwaona simba wanapigana jaribu kukimbia au kukaa mbali nao.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lissu ana somo la kujifunza kutoka kwa María Corina Machado wa Venezuela

    We jamaa utakuwa mbumbumbu au mjinga.Mbona ulichokiandika hakina uhusiano na lissu,Wewe na Chama chako ndyo mnatakiwa mjifunze kwa TAL na kumuelewa mzalendo wa kweli anachokipigania.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Nimeiona Tz yangu,pamoja na kuzungukwa na maji pande zote bado inategemea mvua za msimu kwenye Kilimo,Hilo eneo lilitakiwa wakae ngozi nyeupe ili wailishe Dunia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Ukiwa na mihemko unaweza hisi Golugwa amekula pesa za abdul,Maana anashindwa hata kukumbuka Ushahidi wake wa jana.Hawa mawakili wa serikali wanampandikizia maneno na yeye anajaa kwenye mtego wao.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Ndugu mbona unaleta matusi kwenye uzi wa heshima na upo live,kuwa na adabu basi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Ndugu kama ulikuwa kwenye mawazo yangu,Hata mimi pia nilimshangaa sana Golugwa kumsifia huyo jamaa wakati siku chache nyuma alitaka kumalizana na msaidizi wa Mwenyekiti wake akaponea chupuchupu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Siku kadhaa nyuma nafikir ni mdogo wake alitoa taarifa kuwa Whatsaap ya bro imedukuliwa,Lakin acha kupambazuke kwanza ukweli utajulikana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ngoja nikahakiki na hilo pia.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Haina noma ndugu,nitazingatia hilo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Bei hyo hyo ndugu iwe kubwa au ndogo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB Mzigo umeshasoma wadau,Acha nikashambulie kili 5 za fasta.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mzigo umeshatoka,chek salio
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB tayar
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    We jamaa matako yako!! Acha kuwaonea walimu pumbavu we, kuna siku nitakutia makofi lofa weh.
Back
Top Bottom