Recent content by kuberwa

  1. kuberwa

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Hawa ndaile kubi hawafiki hata hiyo! Wataondoka na 10m probably
  2. kuberwa

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Hata mwavuli haufai kitu hapo, rain jackets na gumboot hapo anaweza kutoboa! Allah atuepushe mabalaa ya mvua hizi
  3. kuberwa

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Allah atujaalie mwisho mwema, tutafute kwa staha bila kuumiza wengine!
  4. kuberwa

    Kulikoni StarTV na Radio Free Africa?

    Tunaisoma namba pamoja haina ubaguzi!🤣
  5. kuberwa

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Hapa IGP huwezi kusikia akiita press kuwashutumu na kuwaita magaidi watu wake! Huu sasa ndo ugaidi kutisha watu wajione hawako salama wanaweza kuchukuliwa mpaka majumbani mwao!🚮
  6. kuberwa

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Hii homa si ndo Meningitis? Inaletwa na bacteria Meningal coccus? Au ni kitu kingine?
  7. kuberwa

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari zenu, nashukuru kwa mada hii nzuri. Napenda kufahamu kama kuna mtu anamiliki gari aina ya Volkswagen polo... Kama yupo napenda kufahamu anatumia engine oil gani.. Pia nahitaji kufahamu mahali naweza kupata lock ya mlango na lifter ya kioo cha mlango wa kulia nyuma (rear right hand...
  8. kuberwa

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    So sad kukupoteza kaka! Hakika sote ni wa Allah na kwake siku tutarejea.
  9. kuberwa

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    I cannot argue with you, Allah has placed a veil on your eyes and sealed your hearing... none can take it off you except him...better continue wondering in your contumacy, we shall meet on the day which there is no doubt! in sha Allah
  10. kuberwa

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Wadutch leo kimyaa mtaani! Maana leo tungeshaamshwa usingizini na honi zao na mafataki... this day, Go Costarica goooooo
  11. kuberwa

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    [inafundisha watu kujitenga] Sema kujitenga na uovu! Pia lengo la hijab (Stara) ni ili mwanamke atambulike kuwa mcha Mungu, hivyo alhadulillah kama lengo limefikiwa. Kuondoa hizo hisia zako mkuu basi wote wavae hijabu ili usitambue yupi ni yupi... wasiwasi wangu ni pale mtakapoona na majina...
  12. kuberwa

    Who created God? Who made him? Where did he come from?

    People rather understand poor science than Allah's words with clear evidence! Mr Science can you explain to us, things came from big bang? who created that bang? and why that bang did stop happening to create more creatures?
  13. kuberwa

    Wasichana wawili 1st year SUA na lecturer wafumwa wakifanya ufuska

    I'm ashamed of you @ Food Engineer! Au ndo ulikuwa unajifunza kupost Jf? Hebu nimpigie Chove wafanye mchujo upya hapo Food maana naona hujaqualify kuwa hapo kama unashindwa kueleweka kwa mambo madogo kama haya!
  14. kuberwa

    Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    Bora waanze msako wa mtaa kwa mtaa! I guess God has decided to take back his creatures in that fashion, he is the all knower the wise... I'm praying for them though
Back
Top Bottom