Recent content by kubenafrank

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi unakuaje?

    Maisha mitaani ni magumu sana. Vijijini mazao hayauziki. Mengi hayaeleweki. Tufanyeje?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole jikite katika kuimarisha rasilimali watu ndani ya CCM. Hao wahamiaji watatuletea anguko huko mbele

    Kwa sasaivi wanafanya manunuzi hadi disemba 31,18
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waliohama CHADEMA ili kuunga mkono juhudi waanza kuomba kurudi

    Kazi kweli kweli kwa hii hamahama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Hii kitu inayoitwa sayansi ya kisasa ni mbaya sana kwani inataka kutuchafulia taifa letu
  5. K

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tujipange kwa hujuma za watawala tutakazokutana nazo za kuzuia na kuhujumu zoezi linaloendelea la uchaguzi ndani ya chama

    Hahaha! Eti DJ. Anawafanya mnakosa usingizi. Hamjawahi kulala usingizi wa pono tangu novemba 5,2015. Mna hofu muda wote kama fisi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

    Dah! Hii lugha ya malkia imeandikwa kibantu vile
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Sasaivi tunafanya kazi kizalendo zaidi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Hali ya hewa itatuumbua huko mbeleni
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

    Nadhani haya ni mawazo yako na yanapaswa kuheshimiwa japo taifa linapita ktk wakati mgumu sana tangu lizaliwe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

    Petroli bei juu, umeme hali kadhalika,kodi za nyumba balaa,mchele na nyama ndo usiseme, makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu.Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi nayo balaa.Je hii ndiyo HAPPY NEW YEAR 2013 tunayotakiana au ni HEAVY NEW...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa Makuyuni-Monduli (CCM) afariki Dunia

    Katika msiba huu kuna tetesi kuwa mtu huyu hakuwa raia wa tanzania.Utata na uzushi huo ulianza mara tu baada ya kifo chake.Baada ya utata huo ulianza mara iliposemekana kuwa atazikwa Nairobi kwani ndiko wazazi wake wanapoishi.Ghafla tena mchana huu ikatoka taarifa kuwa anazikwa mchana huu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

    Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.Nina wasiwasi na brain capacity yako.Kikwete anapokuwa anazindua barabara sehemu mbalimbali nchini yeye ni Mhandisi?Huu ni uzuzu wa ajabu.Haihitaji kuwa mhandisi ujue kalvati au mtaro umejengwa chini ya kiwango.Ni akili ya kawaida tu inatosha.
Back
Top Bottom