Kwa nini serikali aikukanusha Lisu kuwekwa katika zero la wafungwa waliokumiwa kunyongwa hadi kufa katika gereza la Ukonga? Serikali itueleze sababu za kumuweka katika zero hiyo ili hali hajahukumiwa. Vinginevyo tetesi au tu human zilizotolewa zinaweza kuwa na ukweli 99.999%
Kilimo hakipimwi kukua kwake kwa kupanua mashamba, kinapimwa kuongezeka kwa uzalishaji (productivity) na uletaji tika kwa jamii. Atoe takwimu za matokeo(impact) ya kukua kwa kilimo jinsi ambavyo kimeongeza pato la watanzania kwa soko la ndani na nje . Hii itahakisi uhalisia wa kuongezeka kwa GDP.
Iwapo ni sahihi alyoyasema Msomi Kibatala waliosimamia utekelezaji wa barua hiyo wanatakuwa wajiuzulu kutoka kwenye nyadhifa zao. Vinginevyo mamlaka za uteuzi ziwafukuze kazi.
Tunzo hiyo ilianuishwa lini? Kwa mujibu wa kanuni ipi ya Bunge? Sifa za anayetunukiwa tuzo hiyo ni zipi? Ni nani ambayeamshatunukiwa tuzo hiyo? Tulia unazingua Watanzania
Ni kweli hiyo na sahihi? Tusipitishe watu wanosema ukwelu? Tupitushe tu machawa? Chama kitakufa muda si mrfefu na wananchi watakisusa na serikalu yake. Wananchi sasa wanefunguka macho. Tukilinde chama kwa kutenda haki jwa wananchi na sio kuwafanya wanaosema ukweli kuwa wahanga wa siasa, bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.