Wana JF hamjambo mtani samehe kiswahili changu sio fluent. Kwenye mada ni historia yangu nikiwa mdogo. ilinikuta nikiwa darasa la 5 ,2014.
Nilikua mwizi hatari sana wakati uo nilikuwa nime bobea. Nikiwa natumwa naivas mall(kenya) pale kwa caisher kulikuwa na sweets;Orbit, PK,choclate na...