Recent content by ksksk

  1. ksksk

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Pole mkuu tafuta mafuta ya habat soda uwe unapakaa hapo utàpona
  2. ksksk

    JamiiForums Tanzania Nikiweka sakafu haitaleta shida?

    Kama lengo ni kukwepa nyasi zisiote kwnn usimwage kokoto tu pote alafu ukiezeka ndo umalize chini maana unaweza ukala hasara baadae
  3. ksksk

    JamiiForums Tanzania Ukiumwa nenda hospitali achana na mitishamba

    Ukipimwa ukajua unaumwa nini basi imeisha hiyo mtu anapigwa stroke na anapona kwa miti shamba alafu unabeza pole sana mkuu
  4. ksksk

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kupambana na hii UTI?

    Pole mkuu tumia kuchemsha vitunguu maji vikubwa vi 4 katakata chemsha kwenye maj ya kita 1 na ½ kwa dakka 10 alafu epua ikipoa chuja tia kwa chombo safi alafu tumia kikombe cha chai weka nusu kijiko cha chapa simba [bicarbonate of soda] koroga tia na asal vjko 2 ukipenda tumia kutwa...
  5. ksksk

    JamiiForums Tanzania Je, nimtonye mteja kuwa amepigwa na fundi ama nikae kimya?

    Kula nyama nyamaza mkuu ili kesho tena fundi akipata dili arudi kukuchangia ndio Bongo hii
  6. ksksk

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Hii mbona iko wazi kitambo bila kadi ya kijani hunusi ni miaka sasa
  7. ksksk

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Wengi wetu tunakula kinachopatikana siyo tulichokipanga
  8. ksksk

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Asante kwa mawazo yako inaonesha jinsi gani huna ufaham juu ya hilo
  9. ksksk

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Yaani si unajua mambo ya bima ya afya ya mwafrica sasa katika hiyo bima mojawapo ndio ipo hiyo dawa kama kinga tu kutodhuliwa na watu wenye roho mbaya
  10. ksksk

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hiyo ipo hasa kwa watu wenye umri mkubwa ni mambo ya dawa za asili mara nyingi anachukuliwa mgonjwa husika anawekwa ndani alafu sehem ya paa inatobolewa kidogo anapigwa na ule mwaga wa jua akiwa ndani hapo ndio anakata roho vingnevyo ataoza na harufu juu
  11. ksksk

    JamiiForums Tanzania Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Hilo la kuanguka chooni au kupooza mara nyingi ni process tu za kuoga unapaswa maji ya kwanza uanzie miguuni na siyo kichwani kama wengi wanavyofanya na hii inatokana na sababu za kimwili zaidi
  12. ksksk

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza kuna kitu hakiko sawa

    Mwanza siyo barabara tu hata maji ni shida kubwa tena kwa mda mrefu lkn hakuna anaejali wala nini
  13. ksksk

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    1. Tumia asali ya nyuki wadogo kumpakaa kutwa mara 2 hii ilimponya mwanangu. 2. kuna sabuni inaitwa potassium permanganate Unakuwa unamwogesha nayo kwenye pharmacy nyingi inapatikana hii Kila la kher mkuu
  14. ksksk

    JamiiForums Tanzania Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

    Hizo figo zimejuaje kama ni usiku wakati zipo huko ndani ndani
  15. ksksk

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naogopa kazi mpya

    Magu aliwah kusema alibip urais akasukumizwa lkn akawa rais hivyo jitose tu mkuu mambo ni mbele kwa mbele huenda kupitia huko ukapata tena inshu kubwa zaidi
Back
Top Bottom