Nikiweka sakafu haitaleta shida?

Nikiweka sakafu haitaleta shida?

View attachment 3094747


Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
piga tu rough floor haina shida labda shida ni vile umepiga plasta halafu unakaa muda mrefu bila kuezeka.

halafu huyo welder hajui Pythagoras theorem hajakunyooshea hizo square, yote tisa hongera umepambana kufikia hapo umepambana.
 
piga tu rough floor haina shida labda shida ni vile umepiga plasta halafu unakaa muda mrefu bila kuezeka.

halafu huyo welder hajui Pythagoras theorem hajakunyooshea hizo square, yote tisa hongera umepambana kufikia hapo umepambana.
Asante sana mkuu
 
Kama lengo ni kukwepa nyasi zisiote kwnn usimwage kokoto tu pote alafu ukiezeka ndo umalize chini maana unaweza ukala hasara baadae
 
Mkuu, hii nyumba uliimaliza au uliuza..?
Iko Masasi kitongoji,/Kijiji gani..
raylin
 
Bila kuezeka Hiyo nyumba ita anza kuoza madirisha na mwishoni kwenye Kuta kuanza kupukutika....
Anza kununua bati kidogo kidogo
 
Na sijaelewa kwanini mdau anajenga nyumba kwa style ya kwenda nyuma kurudi mbele!?

Yaani hajapaua yeye amepiga plaster ameshaweka grilles still hajapaua anataka tena apige sakafu kwani mkuu raylin ni nini kinakufanya ukwepe kuweka paa?maana hapo unaenda kupata hasara ya plaster kama hujaezeka mapema.
Wafanya kazi wa viwanda vya cement ndiyo kawaida yao 😂😂
 
Tangu umechapia imekutwa na mvua za misimu mingapi? kama bado jitajidi kufuta kwajuu ili mvua ikipiga maji yateleze kwene ukuta nayasiingie baina ya plasta na tofali hii kuna muda inasababisha plasta kuachiana na tofali ,unakuta plasta ukiigonga inalia kama ngoma
Fundi alishndwa kumshauri kuw nyumba huchapiwa baada ya kupaua
 
Fundi alishndwa kumshauri kuw nyumba huchapiwa baada ya kupaua
Acha kukariri maisha mzee, nan kakuambia kua nilazima upauwe ndio upiga plasta? Basi ndio huyo huyo alikuambia kufua ni siku ya juma mosi 😀, acha kukariri kabisa nilianzq hvyo na nimepaua nimeisha hamia na hakuna chochote kilichotokea au kuharibika
 
Acha kukariri maisha mzee, nan kakuambia kua nilazima upauwe ndio upiga plasta? Basi ndio huyo huyo alikuambia kufua ni siku ya juma mosi 😀, acha kukariri kabisa nilianzq hvyo na nimepaua nimeisha hamia na hakuna chochote kilichotokea au kuharibikok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom