Hakuna namna sahihi ya kumshauri mtu achukue reaction ipi pale anapokutana na jambo fulani, liwe la kumpa furaha au huzuni.
Mara nyingi reaction ya mtu huwa inatokana na mood yake kwa wakati huo yaani ni sawasawa na kumuuliza mwanaume ata-react vipi pale atapomkuta mwanamke wake na mwanaume...
Dada mmoja aliulizwa kuhusu usafi wanaume anaokutana nao kingono akasema wanaume wa siku hizi sio wasafi kabisa mtu anakulazimisha umnyonye wakati anajua kabisa sio msafi..
"Mtu hafui boksa, hanyoi sehemu nyeti halafu anakwambia umnyonye.. Kweli?"
"Ukijitahidi basi umnyonye mpaka unamaliza...
Ni nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?
Istoshe humu ID nyingi huwa Anonymous mkuu..
Unaweza kunielezea na hapa?
Msela anasaidia kwenye katika suala la kuwasanua wazinzi mnasema ni yeye mwenyewe 😂
Kwani kosa lake ni nini kuanzisha huu uzi au kujifanya kuwa rafiki yake ni yeye?
Teh teh teh, nimesahau ngoja nisubiri wa kujichomoa ubongo mwingine aanzishe thread ya mapenzi, mahusiano na kupendana mafichoni na hadharani..
Threads kama hizi sio za kutafuta msimu wa baridi..
Unaweza kumuona mwenzio ni kama amefanya jambo la kijinga halafu ikifika zamu yako unafanya upumbavu tu bora hata alichokifanya yeye..
Kuna ile hali inakupata ukiona utupu wa mwanamke, kwanza unasahau kabisa kabisa kama kuna ukimwi sembuse kuvaa mpira? 😂😂
Everything you see is Fake.
Watu, maisha, nguo, kazi yaani kila kitu unachokiona ni Fake.
Kitu pekee ambacho ni halisi ni wewe mwenyewe lakini kila kitu kilichobaki ni Fake!
Vitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
Manipulators, ukijua namna ya kuishi na hawa watu hautateseka sana.
Mtu unaishi nae ghetto moja ila sasa unaona kabisa anayoyafanya ni mambo ya hovyo, uwezo wa kumfukuza unao ila kila ukitaka kumfukuza unashindwa ni kama anakusoma mapema sana anakutengenezea mazingira mapema sana siku ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.