Recent content by kq07

  1. kq07

    JamiiForums Tanzania UKAWA kususia Futari za Viongozi wakuu Mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni jambo la ajabu

    Humchezo hautaki hasira!!
  2. kq07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko umebeba mimba unataka kumwambia mke wangu

    Sasa unaogopa nn??
  3. kq07

    JamiiForums Tanzania Mjadala kati ya wanaoamini uwepo wa jehanamu na wasioamini

    Mathayo 25:34 Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu; Mathayo 25:41 Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele...
  4. kq07

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru tunaomba ushahidi wa kununuliwa hisa 51% za UDA

    Hivi msajili wa hazina ni msimamizi wa mali za jiji la Dar ? Badala ya Mafuru kulete ushahidi nafikiri Jiji watoe ushahidi kwamba wanamiliki 51 % za UDA. Asilimia 49% ambazo ni za serikali kuu zipo salama na ndizo zinamilikiwa na msajili wa hazina
  5. kq07

    JamiiForums Tanzania MSAJILI WA HAZINA: Simon Group inamiliki 51% ya Hisa UDA na Serikali 49%, Jiji halina hisa

    Wa kulaumiwa hapa ni mwenyekiti wa bodi ya UDAaliyeuuza hisa kinyemera bila idhini ya wenye hisa !!
  6. kq07

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ng'ombe aliyechelewa ni wa mbele lakini mikwaju anachapwa wa nyuma

    Kiswahili na waswahili ..nimekuelewa!!!
  7. kq07

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Bado tuna safari ndefu sana !! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
  8. kq07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

    Tafuta super-sub!!!
  9. kq07

    JamiiForums Tanzania KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Katiba gani?? Hii anayoivunja si ndiyo hatuitaki .Labda ameanza kutekeleza katiba mpya.
  10. kq07

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

  11. kq07

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam TV hawana channel za kikristo?

    Zipo nyingi tuu
  12. kq07

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu wa UKAWA wakitoka nje bungeni huenda wapi?

    Kulala baada ya kazi
Back
Top Bottom