Nimekuwa naangaika hapa kutafuta channel yenye mahubiri au ibada za kikristo katika kigamuzi cha Azam TV bila mafanikio. Ninaziona za dini ya kiislamu tu. Je hawana hizo channels??
Zipo mkuu,,kuna channel inaitwa MYRIGHTEOUS TV ktk other channels ni ya 1128 utaona mahubiri live angalia nw
Acha hisia za kibaguz za kidin hazitokufikisha mbali mkuu utabaki kulalamika tu juu ya udin,,,,zambi hii ya kibaguzi itaendelea kukula mpaka unaingia kaburin ww na familia yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.