Recent content by Kozo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    Watu wanaongea sana lakini wanasahu kitu kimoja "Maji" Maji ndiyo tatizo! CAG alipokwenda Marekani akanywa maji ya kule ramani ya Tanzania ikapotea kwenye ufahamu wake akawa anaiona ramani ya Marekani pekee.Sasa inafaa apelekwe na wazee katikati ya bahari Zanzibar to Dar es salaam,wakamnyweshe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania kuipeleka serikali mahakamani

    Jenga ukuta nyumbani kwako,
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Hili jamaa ni lichochezi balaa hata anadhani kila mtu anawaza upuuzi kama wake, pole sana utaishia kubweka tuu hautamng'ata hata kidogo na miaka ten ataimaliza maana Mungu ndiye kamuweka si wewe uliyejaa chuki na kutopenda haki.
  4. K

    JamiiForums Tanzania PLAN A: Kuelekea Sept 1, Operesheni UKUTA vikosi vimepangwa hivi

    Hv hawawezi kuzuia dictatorship mpaka wananchi? wanajificha kwa mgogo wa wananchi, hawana jipya!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Nabii Isaya aliabdika na waenende kwa sheria na ushuhuda tofauti na hapo fahamuni hao ni watunishi wa baba wa uongo kwa vazi la dini,sheria ni Amri kumi ambazo ndizo tabia na muhuri wa Mungu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ngeleja ndio suluhu ya mgao wa umeme?

    Acha kutoa majibu mepesi kiasi hicho,aliyekwambia kuwa tatizo ni vyanzo vya ENERGY kakudanganya na ww umeamini,hebu kuza ufahamu wako ili usilubunike kiwepesi na mabingwa wa udanganyifu kwa sababu ya uvivu wa kulitumikia Taifa kwa maendeleo ya Taifa na kutumika kwa ajili ya matumbo yao na tamaa zao.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Makubwa haya,kumbe ile skendo ya richmond kuna ukweli ulifichwa kumuangusha mmasai?hebu mwenye tetesi atudosolee kidogo jamani tupate kujua.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

    Hivi kweli wewe hujui ama hutambui hiyo ndoa ama unatoa maneno tu,uliza basi kwanza ueleweswe usibishe ovyo uliza wana Jf watakupa dada wamo wanafahamu vizuri tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

    hujui kwamba huyo ndo mwenye maamuzi,hata mgawo wa umeme pia mh kazi tunayo kiongozi ndiye adui wa kwanza kwa TAifa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Tabia waliyo nayo wana familia kwa kiasi kikubwa huathiliwa na baba wa familia,baba akiwa mwizi na watoto wataiba tu ndivyo ilivyo kwa chama cha magamba,bila ya chama cha magamba kuondoka madarakani Rushwa haiwezi kupungua kwani ndiyo siraha kubwa ya chama cha magamba kwenye chaguzi zote.
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Hata mi pia nashauli uwepo umakini mkubwa hao magamba wanambinu nyingi za kuiba kura hasa hiyo ya kubadilisha masanduku ya kura,hivyo mawakala wawe chonjo mtu asiende hata kukojoa akawaacha magamba na washirika wake make chama cha upinzani ni kimoja tu hapa Tanzania,piganieni haki msiogope...
  12. K

    JamiiForums Tanzania TBC1 Inaipendelea CHADEMA na Kuihujumu CCM?

    Wewe hujajua kuwa taarifa ya habari zikiwemo habari za Magamba ni kichefuchefu kwa walio na akili timamu na si kwako wewe huna tofauti na mwehu asiyejua nini anafanya,pole sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Igunga

    IGUNGA,kula pilau la magamba utashiba masaa mawili kisha njaa miaka kumi,KILIMUKAGI BHAJAMENI WAMETUFANYA MASKINI ALAFU WANATUPA PILAU KTK UCHAGUZI;wametufanya wajinga kama wao kwa tamaa zao;walizuia vyombo vya habari ili tusijue dunia inavyokwenda pia elimu ya uraia na haki ya mwananchi ili...
  14. K

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

    kiburi hicho kina mwisho tena si mbali tutakapotaifisha vijimali alivyotuibia na hao WATAALUMA wanaotumia taaluma yao kwa MATUMBO MBELE siku zao zimo mikononi mwa Mungu.
Back
Top Bottom