Recent content by KotelaMamba

  1. K

    JamiiForums Tanzania TBT

    Picha i wapi kwani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sio account mkuu nilichanganya kidogo. Ni IT Ni IT kumbe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mdau mimi age ya kuajiriwa serikali ilishapita.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkeka ulitoka baadae mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ataenda hakuna namna, taasisi binafsi zinachallenge zake. Serikali at least japo huwa wana sallary kiduchu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ok. Ni vizuri lakini. Nimeambiwa hata hiyo haaiko vibaya
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    alifanya interview mwezi wa 6, 2026
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Uhasibu. amepangiwa hiyo hiyo internal auidit Lakini sio kwa taasisi alioyomba
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wamempanga Taasisi ambayo hakuomba kazi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wala hajakaa kwenye database ni alifanya interview mara moja tu. ajabu amepangiwa taasisi nyingine tofauti na aliyoomba kazi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Imekaaje hii ya kupata placement sehemu ambayo hakuomba kabisa?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Binti amepangiwa kituo cha Kazi. Lakini mkeka haujatoka ila kwenye my application ana barua.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa, alinionyesha hivi. Halafu katika kugoogle google maana ya hicho kitu kutoka ajira utumishi wa umma ikanileta huku jf ambapo mimi ni member! Jana nilisoma sana comment za huu uzi, na asanteni kwa maelezo, yeye aendelee na kujitolea. kwanza walianza wengi sana, na ni mara yake ya kwanza
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante kwa maelezo mazuri.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hakuna shida ngoja niendelee kuhudumia
Back
Top Bottom