Recent content by Korto

  1. Korto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanao jua Nairobi

    Asante sana , tuna weza waliana kwa sim
  2. Korto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanao jua Nairobi

    Thank you very much
  3. Korto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanao jua Nairobi

    Asante sana
  4. Korto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanao jua Nairobi

    Ni sehemu gani Narobi naweza pata spea part za Nissan.
  5. Korto

    JamiiForums Tanzania DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Tunako elekea ni kubaya zaidi
  6. Korto

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    wanazidi kujenga chuki na wananchi , kwani wangenyamaza waache wakatoe rambirambi zao wangepugukiwa nini
  7. Korto

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

    Na kodi wamepandishiwa na TRA toka 300,000 kuwa 800,000
  8. Korto

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

    Na kodi wamepandishiwa na TRA toka 300,000 kuwa 800,000
  9. Korto

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Msema Kweli mpenzi wa Mungu
  10. Korto

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa jini

    Ngoja waje wahusika
  11. Korto

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

    Naona Kumekucha
  12. Korto

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruaichi: Waumini Waombeeni Viongozi Watambue Kuna Njaa

    Leo kuna semina ya kiroho imeanza mjini Arusha , Mwalimu wa semina hiyo amesisitiza juu ya kuliombea taifa juu ya janga la ukame na Njaa linalo likabili taifa letu, na kwa kuonyesha msisitizo kuna maombi maalum yamenyika, Kama viongozi wa kiroho wameliona na wewe unapinga sijui utakuwa unaishi...
  13. Korto

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    Pesa za makusanyo zitoke wapi wakati biashara hakuna, kila mahali watu wanalia njaa
  14. Korto

    JamiiForums Tanzania TANESCO yapeleka maombi EWURA ili kupandisha bei ya umeme kwa 18.19% kuanzia Januari, 2017

    Tunamshkru Mungu kwa kutupa Gesi Tanzania, matokeo yake imekuwa kinyume badala ya kutumia gesi kutusaidia watanzania inatumika kutunyonya zaid, ukiangalia hata Gesi tunazo tumia majumbani zimekuwa zikipanda bei kila kukicha badala ya kushuka, Hii hazina ya gesi tuliyo pewa na Mungu inatusaidia...
  15. Korto

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ifumue TANAPA imeoza sana

    Hata wazili wa maliasili na utalii ni Jipu Inasikitisha sana kuona jinsi ambavyo sekta ya utalii inavyo chezewa na badhii ya wafanya biashara watanzania wenye asili ya Asia. Mwalimu Julialsi Nyerere Alisha wahi kusema UBEPALI NI UNYAMA na RUSHWA NI ADUI WA HAKI, hawa wafanya bishara wenye aslia...
Back
Top Bottom