Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari John Pombe Joseph Magufuli amemteua George Waitara mkuu wa majeshi mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA.
pamoja na kwamba historia ya kamanda waitara yeye hapendagi mambo ya kihovyohovyo,
Lakini kwa maoni yangu ninaona haja ya kufanya mabadiliko makubwa katika shirika hili linalotunza hifadhi zetu hapa nchini.
Yanahitajika mabadiliko ya kimfumo, mabadiliko ya kiutendaji na hata mabadiliko ya kimuundo.
Management ya TANAPA kwa hakika haiendani na Speed na Moto wa Rais wa nchi hii.
Wanafanya kazi kwa mazoea, hawatumii tena weledi na wala hawajifanyii home works kuhakikisha wanawafanya watanzania wanufaike na uwepo wa hifadhi zao.
Ni kama wanabebwa tu na uwepo wa Mlima Kilimanjaro ambao kwa kiasi kikubwa unajitangaza wenyewe na Hifadhi ya Serengeti ambayo Ina umaarufu mkubwa Africa na Dunia. The rest hakuna wanachokifanya.
Wafanyakazi wa TANAPA hawaheshimu ofisi zao, wamezigeuza kama kijiwe cha kupigia Soga tu. Zipo taarifa za Wafanyakazi wanaoingia ofisini saa tano asubuhi na kusingizia walikuwa kazi za nje.
85% ya saa za ofisi wanazitumia kwenye Seminar na Safari zisizokuwa na tija ili wajilipe posho.
Utajiri wa Wafanyakazi wa TANAPA hauendani hata chembe na kipato Chao halali na kwenye hili mheshimiwa Rais uliangalie vema.
Tangu kuteuliwa Balozi Kijazi kuwa katibu mkuu kiongozi ambaye ana vinasaba vya moja kwa moja (ndugu wa damu ) na Mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan Kijazi , hofu ya kuchunguzwa kwa madudu wanayofanya imeyeyuka wakiamini 'ndugu yao' atawalinda.
Hayo ni kwa uchache tu. Nikitulia nitaweka hadharani Documents zinazoonyesha Ufisadi wao.
Mheshimiwa Rais. Hebu chungulia hili Shirika kwa jicho la Tatu.